Mchimba Chumvi
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 2,244
- 5,500
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂Huko Nyeri anakibalika lakini sehemu kubwa ya Kenya inamkubali Raila. Kumbuka hawa jamaa wanaenda kwa ukabila na ukanda. Hata hivyo Raila ana advantage kubwa kwani anaungwa mkono na Kenyatta
Wana macho hawataki kuona,wana masikio wamegoma kusikia ,na akili nazo wamegoma kutumiaRuto ndo rais ajaye.amino kwamba
View attachment 2234129View attachment 2234130View attachment 2234132View attachment 2234131hii ni jana county ya Nyeri