Alipokuwa akihojiwa jana tarehe 30/6 na waandishi wa habari, Rais Ruto alisema japo amekubali kuondoa na kutokusaini Finance bill hiyo lakini anasikitika sana kwani bill hiyo ilikuwa na manufaa makubwa wa wakenya wote na ililenga kuikomboa kuingia kwenye madeni makubwa.
Alisema kuwa Wakenya wengi walioandamana kupinga mswaada huo hawajui kilichomo ndani ya bill hiyo... Wengi wao wamefuata mkumbo wasijue kuwa wanapiga teke maendeleo yao wenyewe.
Alisema kuwa anaamini kuwa wabunge walio pitisha bill hiyo ni mashujaa.
Ni wazi kuwa pamoja na Rais kuiondoa bill hiyo lakini anajua italeta athari kubwa sana kwenye maendeleo ya wananchi.
=====
Pia soma: Yanayojiri Maandamano Kenya: Waandamanaji wafika Bungeni, wawili wauawa kwa risasi