Rutto aanza kazi kwa kutembea bakuli la kuomba chakula Marekani

Rutto aanza kazi kwa kutembea bakuli la kuomba chakula Marekani

23 September 2022
New York

WILLIAM RUTO: HALI NI MBAYA PEMBE YA AFRICA

Katika vichochoro na baraza za jijini New York wakati akihudhuria mkutano wa UNGA 77 apata kufanya mahojiano na kituo cha televisheni cha France24 na kuzungumzia ukame na njaa

William Ruto, Kenya's new president, granted an #interview to FRANCE 24's Marc Perelman on the sidelines of the UN General Assembly in New York. Ruto warned that the worst drought in 40 years risks causing starvation in the Horn of Africa, adding that "3.1 million people are facing severe drought" in Kenya alone. "This is no longer a country-by-country challenge. This is becoming a multilateral challenge," he insisted, calling on multilateral institutions and lenders for support. Ruto blamed climate change for the drought but stressed that the situation had been exacerbated by the war in Ukraine and the resulting fall in grain exports to #
Source : France24
 
Aibu yetu Waafrika. Ardhi ipo. Maji yapo lakini tunategemea chakula kutoka Ukraine...Afadhali hata Kenya wana kisingizio maana ardhi karibia yote bado inamilikiwa na familia ya akina Lord Delamere na familia chache tajiri. Nchi kama Tanzania, tuna kisingizio gani cha kutokujitegemea kivyakula?
Kenya imezidi mkuu, nchi za hovyo Kama Burundi lakini hawadhaliliki kwa kuomba chakula, lakini huyu jirani anayejisifia kwa kuwa na uchumi mkubwa kila kukicha ni kuomba chakula tu

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kwenye hili, mimi mpaka kesho sitawahi kuelewa. Hivi inakuwaje nchi INAYODAI kuwa na UCHUMI MKUBWA ukanda wa A. Mashariki, ndiyo inayoongoza kwa KUOMBAOMBA CHAKULA UKANDA HUU.
 
Aibu yetu Waafrika. Ardhi ipo. Maji yapo lakini tunategemea chakula kutoka Ukraine...Afadhali hata Kenya wana kisingizio maana ardhi karibia yote bado inamilikiwa na familia ya akina Lord Delamere na familia chache tajiri. Nchi kama Tanzania, tuna kisingizio gani cha kutokujitegemea kivyakula?
Hatuna njaa asilani
Viongozi wa tz wanazurura kwa ajili V8 zao
 
Back
Top Bottom