joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kenya imezidi mkuu, nchi za hovyo Kama Burundi lakini hawadhaliliki kwa kuomba chakula, lakini huyu jirani anayejisifia kwa kuwa na uchumi mkubwa kila kukicha ni kuomba chakula tuAibu yetu Waafrika. Ardhi ipo. Maji yapo lakini tunategemea chakula kutoka Ukraine...Afadhali hata Kenya wana kisingizio maana ardhi karibia yote bado inamilikiwa na familia ya akina Lord Delamere na familia chache tajiri. Nchi kama Tanzania, tuna kisingizio gani cha kutokujitegemea kivyakula?
Kenya imezidi mkuu, nchi za hovyo Kama Burundi lakini hawadhaliliki kwa kuomba chakula, lakini huyu jirani anayejisifia kwa kuwa na uchumi mkubwa kila kukicha ni kuomba chakula tu
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hatuna njaa asilaniAibu yetu Waafrika. Ardhi ipo. Maji yapo lakini tunategemea chakula kutoka Ukraine...Afadhali hata Kenya wana kisingizio maana ardhi karibia yote bado inamilikiwa na familia ya akina Lord Delamere na familia chache tajiri. Nchi kama Tanzania, tuna kisingizio gani cha kutokujitegemea kivyakula?
Tuache kuwauzia mahindi?Hatuna njaa asilani
Viongozi wa tz wanazurura kwa ajili V8 zao