Rutto kuendelea na kesi ni kuidhalilisha Africa

Rutto kuendelea na kesi ni kuidhalilisha Africa

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,575
NIMESIKITISHWA NA KUENDELEA KWA KESI YA RUTO ICC. HII NI KUONYESHA RUTO YUPO AGAINST AU ; NA MAKUBALIANO YA ETHIOPIA.

TUNAOMBA MEMBE AMSHINIKIZE UHURU KENYATTA KUMWAJIBISHA RUTTO.
Standard Digital News - KTN Live Stream
 
Passionate politics...who is Membe kt inter/geo politics? Nchi za kiafrika hazikuingia makubaliano ya Rome juu ya ICC kupitia mob psychology. If I may ask hivi kesi dhidi ya Ruto na Arap ni keshi binafsi au wanaiwakilisha nchi ya Kenya?
 
Ayo ni mawazo yako sisi hayatuhusu usitulazimishe ..accused yeye anaendelea na kesi anataka kuprove he is innocent wewe unakuja na kauli za viongozi wepesi kama pamba..by the way who is Membe!Kama nchi yake ilisain mkataba ulounda ICC na hawajajitoa wewe unategemea nini au ndo ktk kutaka kulinda kichaka cha madikteta wa afrika?
 
Ndio mjue kuwa kuna mambo ya kuingilia na mengine NO!!!!
 
NIMESIKITISHWA NA KUENDELEA KWA KESI YA RUTO ICC. HII NI KUONYESHA RUTO YUPO AGAINST AU ; NA MAKUBALIANO YA ETHIOPIA.

TUNAOMBA MEMBE AMSHINIKIZE UHURU KENYATTA KUMWAJIBISHA RUTTO.
Standard Digital News - KTN Live Stream

Unless mtua ataniambia Wakenya walilazimishwa kujiunga ICC au kwamba walipelekwa wakiwa usingizini, mimi nitabaki na msimamo kuwa kama mtu yeyote amefanya uhalifu dhidi ya ubinadamu, ni haki yake kushughulikiwa. Suala la baadhi ya wahuni wachache kujidai wameamka na hawaitaki ICC ni kwa kuwa na wao wanajua watakuwa victims wa hayo makubaliano soon. Naamini Tanzania inahusika, isa amatter of time. So tuache upuuzi hapa, waliokosea wahukumiwe tu.
 
[Ruto na Uhuru wanawaburuza viongozi wa Africa na wao wanakwenda bila kujijua(Membe &Co.]

Ndio mjue kuwa kuna mambo ya kuingilia na mengine NO!!!!
 
mleta mada inaonekana upo kwenye sherehe za mwenge nini?

sherehe za mwenge zimenipita niko naangalia ;icc na shahidi wa tatu anaendelea kutoa ushahidi. Napata wasiwasi ;icc wakapata upenyo wa rutto kumuwajibisha kenyatta???????????????
 
NIMESIKITISHWA NA KUENDELEA KWA KESI YA RUTO ICC. HII NI KUONYESHA RUTO YUPO AGAINST AU ; NA MAKUBALIANO YA ETHIOPIA.

TUNAOMBA MEMBE AMSHINIKIZE UHURU KENYATTA KUMWAJIBISHA RUTTO.
Standard Digital News - KTN Live Stream

AU is a big joke!
ICC should be there to stay. Ruto and Uhuru are murderers and criminals and they both must face justice.
Who cares about what Mr Member thinks?
 
Nakumbuka Membe aliwahi sema wale waasi wa Libya ni wahuni na sisi kama Tz hatutotambua serikali ya mpito ya Libya. Naomba kujuzwa hivi ubarozi wa Libya kwa sasa upo Tz na unaendelea na kazi au? Je kwa sasa tumewatambua na tunashirikiana au?
 
NIMESIKITISHWA NA KUENDELEA KWA KESI YA RUTO ICC. HII NI KUONYESHA RUTO YUPO AGAINkST AU ; NA MAKUBALIANO YA ETHIOPIA.

TUNAOMBA MEMBE AMSHINIKIZE UHURU KENYATTA KUMWAJIBISHA RUTTO.
Standard Digital News - KTN Live Stream

Kesi ya bwana Ruto na Kenyata itaendelea mpaka mwisho hayo maadhimio ya sasa yanahusu uhalifu utakaofanyika baadaye sio uhalifu Wa nyuma.
 
Rutto anaelewa vizuri kabisa madhara atakayopata endapo atafuata msimamo wa AU. Naamini hata Uhuru anafahamu. Hivyo binafasi napongeza Rutto kwa kuendelea na kesi. Hakuna option nyingine maana ukweli ni kwamba maazimio ya AU hayawezi kubadili msimamo wa ICC - ambayo ni mahakama isiyoweza kuingiliwa kisiasa na mtu yeyote.
 
Back
Top Bottom