Rutyfiya Abubakary 'Amber Ruty' na Said Bakary Mtopali wamerejea uraiani baada ya kupata dhamana

Na vipi yule jamaa mwenye kiherehere anaitwa JAMHURI?
Mlalamikaji yupo!
Yupo lakin hapa hujagusa maslah yake, kitu cha kuogopa sana katika dunia ya leo ni kuingilia maslah ya mtu/kikundi flan zaidi ya kuvunja sheria.
Sometime suala si ukubwa wa kosa, suala n kosa dhidi ya nani? hapa ni kosa dhidi ya jamhuri yetu na si kosa dhidi ya mtu flan katika jamhuri yake.

Jitahd unielewe, usitake niguse maslah ya mtu/kikundi mzee, mimi bd mdg ndugu.
 
Pongezi kwa mchungaji

[emoji3][emoji3]
 
Tujiandae kualikwa kwenye ibada ya kutubu na kuombewa kwa kina amba ruty. Waumini muje na swadaka itakayompendeza Mungu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji15] duuuuuuh Sawa mkuu
 
huyu si ndiyo Yule.anajiita komandoo Mashimo.mchungaji wa mitume na manabii wote?
Yule aliyesema ataweka maombi maalumu kwa ajili ya wema? au siyo huyu?
Eeh ndo huyu huyu kila siku asubuhi anakuwa pale Mbezi stand anahubiri.
 
Watu wana akili kubwa aisee...
Wameona wakimtumia mchungaji kidogo patapoa@!
Karata zinachangwa...kiukweli!
 
Kilichobakia ni wao kujitathimini sasa na kubadilika sababu mchungaji kaifanya kazi yake kwa kuonyesha yupo kwa ajili ya watu wote.
Ngoja nimtafute wikiend hii nikampooze machungu alioyapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…