Ruvu Shooting kwaheri ligi kuu

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Timu ya Ruvu Shooting imeshuka daraja rasmi kutoka ligi kuu hadi Championship (ligi daraja la kwanza) msimu ujao baada ya kichapo cha mabao 3-0 kutoka kwa Simba katika mchezo wake wa 28 msimu huu uliochezwa Azam Complex, Chamazi.

Matokeo hayo yanaifanya Ruvu ibaki na alama zake 20 mkiani mwa msimamo wa ligi ikiwa na mechi mbili mkononi ambazo hata kama itashinda zote, haitaweza kutoka kwenye nafasi mbili za mwisho.

Katika msimamo wa ligi, Ruvu Shooting iko nyuma ya Polisi Tanzania wenye alama 22 na mechi tatu mkononi, ikifuatiwa na Mbeya City wenye alama 27 na mechi tatu mkononi, huku nafasi ya 13 akiwemo Mtibwa Sugar mwenye alama 29 na mechi tatu mkononi.



Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ruvu imeshuka daraja na SeMBe wamepunguza gepu la point dhidi yao na Uto kuelekwa Ubingwa.
Ushindani bado mkali sana hapa.
Sijui nani ataibuka kidedea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…