Ruvu shooting leo wanamfunga mdomo utopolo

Ruvu shooting leo wanamfunga mdomo utopolo

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Leo natarajia tambo na shombo nyingi za Masau Bwire. Ruvu 2 Utopolo 1.

Timu lao bovu msimu huu.
 
Hiyo ela ya kumpa muhindi bora peleka Kimboka kwa wahitaji.
 
.
FB_IMG_1664762376782.jpg
 
Baadae utajikausha kama sio wewe ulieandika. Yanga hakuna mzaha anaekuja ni kuweka tu....
 
Mkwasa hawezi kuibania Yanga. Watapigwa goli 4 bila majibu, Ruvu kwa Simba Mkwasa angebana lkn kwa Yanga ataweka watu wa maaana benchi ili ku weaken timu
 
Mkwasa hawezi kuibania Yanga. Watapigwa goli 4 bila majibu, Ruvu kwa Simba Mkwasa angebana lkn kwa Yanga ataweka watu wa maaana benchi ili ku weaken timu
Mliowafunga sita si ndio hawa hawa sasa kuwabania kivipi
 
Kweli wamemfunga maana walisema kutakua na hatrick hahahahhah
 
Back
Top Bottom