the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu amewapongeza viongozi wa CUF na ACT Wazalendo katika kijiji cha Nakapanya, kata ya Nakapanya, wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma kwa makubaliano yao ya kuunga mkono kwa pamoja wagombea uenyekiti wa kijiji wa ACT Wazalendo na wa vitongoji wa CUF.Amesema kwenye mapambano ya uchaguzi kila aina ya mbinu na silaha inapaswa kutumika kupambana na CCM ikiwamo kuweka pembeni tofauti za kiitikadi.