Cute Wife JF-Expert Member Joined Nov 17, 2023 Posts 1,906 Reaction score 5,000 Nov 27, 2024 #1 Wakuu, Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amepiga kura katika kituo cha Gharani Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa katika kata ya Mchangani. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wakuu, Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amepiga kura katika kituo cha Gharani Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa katika kata ya Mchangani. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
F Full Blood Picture JF-Expert Member Joined Jan 7, 2021 Posts 2,223 Reaction score 3,961 Nov 27, 2024 #2 Shida hawa ACT haijulikani ni kama ni moto maana wako vuguvugu wakati wa uchaguzi. Baada ya uchaguzi wanakuwa baridi.
Shida hawa ACT haijulikani ni kama ni moto maana wako vuguvugu wakati wa uchaguzi. Baada ya uchaguzi wanakuwa baridi.