Ruvuma: Afikishwa mahakamani kwa kuzaa na binti yake. Alimlaghai kwa kumwambia anamtibu kupitia uume wake

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Mkazi wa kijiji cha Luhagala, kata ya Litumbandyosi wilaya ya Mbinga mkoa wa Ruvuma, Aleyanda Mdendemi (54) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya kwa tuhuma za kufanya mapenzi na watoto wake wawili na kuzaa na mmoja kati yao.

Akisomewa mashtaka hayo na mwendesha mashtaka wa polisi, Inspekta Seilf Kilungwe mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Ally Mkama amedai kuwa mbali na kufanya mapenzi na mabinti zake, pia anatuhumiwa kumuachisha masomo binti yake wa shule ya sekondari.

Mshtakiwa huyo ambaye ni baba mzazi wa watoto hao wawili anadaiwa kutenda makosa hayo katika nyakati tofauti ambapo katika faili la kwanza anatuhumiwa kufanya mapenzi na binti yake (17) mwanafunzi wa kidato cha tatu, Desemba mwaka jana shambani kwao Kata ya Amani Makolo akidai anamtibu kupitia uume wake, kwani binti huyo alikuwa mgonjwa.

Aidha, mwendesha mashtaka ameendelea kudai kuwa mshtakiwa aliendelea kumlaghai binti huyo na kuendelea kufanya naye kitendo hicho kwa kipindi chote wakiwa shambani mpaka waliporudi kijiji cha Luhagala tayari binti yake alikuwa mjamzito na kisha kujifungua mtoto.

Credit: Swahili Times
 
Ni kufanya mapenzi au kuwaingilia kimwili?
 
Nyanda za juu kusini wnaa mambo ya ajabu sana.

Juzi jamaa amembaka mama yake na kisha baba yake akamuwekeza dhamana na jamaa ametoweka kusikojulikana.

Yaani ubake mama yako kisha baba yako aje kukuwekeza zamana halafu utoweke kusikojulikana.

Kwa ufupi ni kwamba baba na mtoto walifanya ama walikula njama dogo ambake mama yake.

Ukiuliza utaambiwa ni mganga alisema.
 
Hata hapa jamii forum kuna memba wengi xn baba zao ndo babu zao ,ushahidi tazama tu nyuzi zao ,hasa kule "kula tunda kimasihara "
 
Back
Top Bottom