kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Maeneo yote wanayochagua CCM ni maskini wa kila kitu, CCM ikishachaguliwa ukimbilia kupigania maendeleo ya maeneo ya majimbo ya upinzani ili yarejeshwe kwao UCHAGUZI ujao. Hakuna fadhila wanayopata wanaowachagua na ndiyo maana nchi haipigi hatua.
Mwanza waliwachagua lakini wabunge wote walibaki kula bata Dar. Arumeru toka Nasary atenguliwe haisikiki Tena na hakuna mradi wa maana ulioelekezwa huko ,Nguvu kubwa imeelekezwa Arusha kwa Lema.
Singida ilianza kupanda chati lakini waliorejesha majimbo CCM wamesaulika hakuna anayewasemea.
Nenda Tanga umaskini mkubwa huku mkoa una rasilimali zote, nenda Ruvuma hata Uhuru bado hawajapata, Nenda Lindi utachoka, mkoa wa pwani umevamiwa na wakoloni nakumilikisha mahekari ya ardhi huku wazawa wakibaki kucheza bao.
Hakuna elimu wa afya ya kueleweka.
LEO MGOMBEA WA CCM ANASEMA TUSIPOCHAGUA CCM ALETI MAENDELEO, NI WAPI WALIPOCHAGUA CCM WAKAPATA MAENDELEO? KUCHAGUA UPINZANI NDIO KUCHAGUA MAENDELEO