M Mshangazi mdogomdogo Member Joined Sep 23, 2024 Posts 64 Reaction score 43 Dec 4, 2024 Thread starter #21 ibrahim Traore said: We bata wahidi .tunarekebisha hilo fuvu lako.kuwa hakuna manispaa ya ruvuma😂 sema asante kwa kukufungua fuvu.uweunashukuru hata kwa hicho Click to expand... Hahaha, Sawa nashukuru Ila nawe kubali Hakuna Songea manispaa Bali manispaa ya Songea
ibrahim Traore said: We bata wahidi .tunarekebisha hilo fuvu lako.kuwa hakuna manispaa ya ruvuma😂 sema asante kwa kukufungua fuvu.uweunashukuru hata kwa hicho Click to expand... Hahaha, Sawa nashukuru Ila nawe kubali Hakuna Songea manispaa Bali manispaa ya Songea
ibrahim Traore Member Joined Aug 11, 2024 Posts 79 Reaction score 172 Dec 4, 2024 #22 Mshangazi mdogomdogo said: Hahaha, Sawa nashukuru Ila nawe kubali Hakuna Songea manispaa Bali manispaa ya Songea Click to expand... Sawa bosi😂😂😂ulizike ww.ila kwa lugha iliokuja na meri inatamkwa kama nilivyo ieleza
Mshangazi mdogomdogo said: Hahaha, Sawa nashukuru Ila nawe kubali Hakuna Songea manispaa Bali manispaa ya Songea Click to expand... Sawa bosi😂😂😂ulizike ww.ila kwa lugha iliokuja na meri inatamkwa kama nilivyo ieleza
Manyahe JF-Expert Member Joined Mar 17, 2023 Posts 487 Reaction score 883 Dec 4, 2024 #23 Battle la kingoni
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Dec 4, 2024 #24 Mshangazi mdogomdogo said: Hahaha, Ruvuma tuna manispaa au hujui Click to expand... Ni Songea Manispaa, Ruvuma ni mkoa, panga siku nikupeleke LA Charlz.
Mshangazi mdogomdogo said: Hahaha, Ruvuma tuna manispaa au hujui Click to expand... Ni Songea Manispaa, Ruvuma ni mkoa, panga siku nikupeleke LA Charlz.
P photi17 Member Joined Sep 29, 2023 Posts 31 Reaction score 50 Dec 4, 2024 #25 Hakuna manispaa ya Ruvuma braza
K katitu JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 3,180 Reaction score 3,295 Dec 4, 2024 #26 Manjagata said: Shangazi watakuwa wamembabua vya kutosha mpaka amepata wenge! Eti Ruvuma manispaa! Click to expand... Na yeye anasubiri nini muda!ukute anataka videmu vya bar ndoa maana anataka wafunge ili apite navyo.
Manjagata said: Shangazi watakuwa wamembabua vya kutosha mpaka amepata wenge! Eti Ruvuma manispaa! Click to expand... Na yeye anasubiri nini muda!ukute anataka videmu vya bar ndoa maana anataka wafunge ili apite navyo.
ibrahim Traore Member Joined Aug 11, 2024 Posts 79 Reaction score 172 Dec 4, 2024 #27 cocastic said: Ni Songea Manispaa, Ruvuma ni mkoa, panga siku nikupeleke LA Charlz. Click to expand... Namimi nikija songea unipeleke.✨️
cocastic said: Ni Songea Manispaa, Ruvuma ni mkoa, panga siku nikupeleke LA Charlz. Click to expand... Namimi nikija songea unipeleke.✨️
ilore JF-Expert Member Joined Aug 5, 2022 Posts 963 Reaction score 1,248 Dec 4, 2024 #28 Mshangazi mdogomdogo said: Hahaha, Ruvuma tuna manispaa au hujui Click to expand... Songea manispaa mkuu
Mshangazi mdogomdogo said: Hahaha, Ruvuma tuna manispaa au hujui Click to expand... Songea manispaa mkuu