LGE2024 RUVUMA: Mpaka sasa hatujabandikiwa matokeo ngazi ya wenyeviti

LGE2024 RUVUMA: Mpaka sasa hatujabandikiwa matokeo ngazi ya wenyeviti

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Joined
Sep 23, 2024
Posts
64
Reaction score
43
Mpaka Muda huu saa 10 na nusu jioni siku ya pili ya uchaguzi hapa kijijini kwetu kikunja Halmashauri ya wilaya Songea hatujabandikiwa matokeo ya uchaguzi kwa ngazi ya wenyeviti wa vijiji.

Kila kituo ninachotembelea wamebandika matokeo ngazi ya vitongoji tu kulikoni? Au Kura hazijatosha maana wapinzani hakuna ni kura ya ndio au hapana.
 
Mpaka Muda huu Saa Kumi na nusu jioni siku ya pili ya uchaguzi hapa kijijini kwetu kikunja halmashauri ya wilaya Songea hatujabandikiwa matokeo ya uchaguzi kwa ngazi ya wenyeviti wa vijiji. Kila kituo ninachotembelea wamebandika matokeo ngazi ya vitongoji tu kulikoni? Au Kura hazijatosha maana wapinzani Hakuna Ni Kura ya ndio au hapana.

Bado wako busy wanapika matokeo na kupata Baraka toka juu kwa MKWE MWENYE KIFUA KIPANA.
 
Wanaweka mahesabu sawa iendane na maagizo kulinda ugali.
 
Back
Top Bottom