#COVID19 Ruvuma yaongoza Kitaifa kwa Kuchanja Chanjo ya Uviko, zaidi ya Wananchi 700,000 wamechanjwa

#COVID19 Ruvuma yaongoza Kitaifa kwa Kuchanja Chanjo ya Uviko, zaidi ya Wananchi 700,000 wamechanjwa

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mikoa wa Ruvuma ndio unaoongoza katika kuitikia wito wa Chanjo ya Uviko

Wananchi zaidi ya 700,000 (Laki saba) wameshachanjwa

Source ITV habari
 
Wamechanja mpaka busta au ni zile zile za zamani ?

images - 2022-08-08T144718.017.jpeg
 
Wangekuwa na mwamko kama huo kwenye kuendeleza mkoa wao, ingekuwa poa...
 
Back
Top Bottom