J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Aug 8, 2022 #1 Mikoa wa Ruvuma ndio unaoongoza katika kuitikia wito wa Chanjo ya Uviko Wananchi zaidi ya 700,000 (Laki saba) wameshachanjwa Source ITV habari
Mikoa wa Ruvuma ndio unaoongoza katika kuitikia wito wa Chanjo ya Uviko Wananchi zaidi ya 700,000 (Laki saba) wameshachanjwa Source ITV habari
MoseKing JF-Expert Member Joined Jul 5, 2017 Posts 4,928 Reaction score 8,976 Aug 8, 2022 #2 Hizo Ni NAMBA tu ZINAANDIKWA.
Cannabis JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 11,557 Reaction score 33,535 Aug 8, 2022 #3 Wamechanja mpaka busta au ni zile zile za zamani ?
911sep11 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2018 Posts 2,461 Reaction score 4,272 Aug 8, 2022 #4 Cannabis said: Wamechanja mpaka busta au ni zile zile za zamani ? View attachment 2317988 Click to expand... Mpaka tufike Omegacron binadamu watakuwa wamejaa chanjo mwili mzima
Cannabis said: Wamechanja mpaka busta au ni zile zile za zamani ? View attachment 2317988 Click to expand... Mpaka tufike Omegacron binadamu watakuwa wamejaa chanjo mwili mzima
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Aug 8, 2022 Thread starter #5 911sep11 said: Mpaka tufike Omegacron binadamu watakuwa wamejaa chanjo mwili mzima Click to expand... Kama kuku wa Kisasa
911sep11 said: Mpaka tufike Omegacron binadamu watakuwa wamejaa chanjo mwili mzima Click to expand... Kama kuku wa Kisasa
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Aug 8, 2022 #6 Wangekuwa na mwamko kama huo kwenye kuendeleza mkoa wao, ingekuwa poa...