Y Yusuph Salehe Member Joined Nov 12, 2010 Posts 58 Reaction score 1 Dec 15, 2010 #1 RUWAZA maana yake nini?
X-PASTER JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 11,605 Reaction score 1,843 Dec 15, 2010 #2 Yusuph Salehe said: RUWAZA maana yake nini? Click to expand... Ili neno utumika badala ya neno, Kigezo au mfano. Hakika nyinyi mnayo ruwaza njema...!
Yusuph Salehe said: RUWAZA maana yake nini? Click to expand... Ili neno utumika badala ya neno, Kigezo au mfano. Hakika nyinyi mnayo ruwaza njema...!
Quinty JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 462 Reaction score 74 Jan 5, 2011 #3 Ruwaza kwa kiingereza maana yake ni Pattern ambayo lina maana zaidi ya moja..nazo ni kama ifuatavyo:- kiolezo, sampuli, bombwe(design) mwelekeo,mkondo au pindo la kwenye zulia.
Ruwaza kwa kiingereza maana yake ni Pattern ambayo lina maana zaidi ya moja..nazo ni kama ifuatavyo:- kiolezo, sampuli, bombwe(design) mwelekeo,mkondo au pindo la kwenye zulia.