Ruwaza

kwa ajuaye maana ya ruwaza za sauti

Kwa kifupi ruwaza ni mpangalio (mpangilio maalumu). Kwa hiyo unapoongelea ruwaza za sauti unatakiwa kuhusisha na mpangilio wa sauti au vitamkwa.
 
RUWAZA nineno pana sana.maana ya kwanza ni mfumo unao mpa mwanafunz uwanja mpana wakujifunza...maana ya pili nimpangilio wa sauti na namna ya kuya tamka maneno pia ina husisha viungo vinavyo husika kutamka maneno flan flan
 
asante kwa mwangaza
 
Kwa kifupi ruwaza ni mpangalio (mpangilio maalumu). Kwa hiyo unapoongelea ruwaza za sauti unatakiwa kuhusisha na mpangilio wa sauti au vitamkwa.

nashukuruu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…