Ruzuku ya mafuta imefia wapi?

Ruzuku ya mafuta imefia wapi?

Nyumisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2010
Posts
13,499
Reaction score
19,292
Wakuu, rejeeni kichwa cha uzi. Naomba kufahamishwa kama ile ruzuku ya bil. 100 bado ipo au imekufa kifo cha kawaida. Maana EWURA kwenye jedwali lao safari hii hawajatuwekea bei mbili, yenye ruzuku na ile kabla ya ruzuku.
Nawasilisha.​
 
Imefia kwenye RUZUKU RAIS ASINGEWEKA NA HIYO RUZUKU YAKE TUNGENUA 7000
 
Wakuu, rejeeni kichwa cha uzi. Naomba kufahamishwa kama ile ruzuku ya bil. 100 bado ipo au imekufa kifo cha kawaida. Maana EWURA kwenye jedwali lao safari hii hawajatuwekea bei mbili, yenye ruzuku na ile kabla ya ruzuku.
Nawasilisha.​
Kapuni🤸🤸🤸
 
Back
Top Bottom