Wakuu, rejeeni kichwa cha uzi. Naomba kufahamishwa kama ile ruzuku ya bil. 100 bado ipo au imekufa kifo cha kawaida. Maana EWURA kwenye jedwali lao safari hii hawajatuwekea bei mbili, yenye ruzuku na ile kabla ya ruzuku.
Nawasilisha.