Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amesema haimsaidii mtumiaji wa bidhaa anayeishi mbagala. Wewe ukifanikiwa kulima halafu mtumiaji akashindwa kununua ndio mnakuwa m'mefanya nini sasa hapoWe jamaa tuulize sisi wakulima ndo tutakwambia ni namna mbolea za Ruzuku zimetusaidia. Inawezekana kukawa na mapungugu ya hapa na pale ila kiukweli mama kaupiga mwingi sana kwenye hili.
Ruzuku imeanza kutolewa msimu wa kilimo wa 2022/2023 ambapo mazao ya msimu huo yataanza kuvunwa mwezi wa March na kuendelea. Tulieni bei itaanza kushuka sio mda.Amesema haimsaidii mtumiaji wa bidhaa anayeishi mbagala. Wewe ukifanikiwa kulima halafu mtumiaji akashindwa kununua ndio mnakuwa m'mefanya nini sasa hapo
Hizi ni propaganda, na tumezizoea.Ruzuku imeanza kutolewa msimu wa kilimo wa 2022/2023 ambapo mazao ya msimu huo yataanza kuvunwa mwezi wa March na kuendelea. Tulieni bei itaanza kushuka sio mda.
Ruzuku imeanza kutolewa msimu wa kilimo wa 2022/2023 ambapo mazao ya msimu huo yataanza kuvunwa mwezi wa March na kuendelea. Tulieni bei itaanza kushuka sio mda.