Ruzuku ya mbolea haina fada kwa Mtanzania

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Kwa bei hii ya vyakula unga, Michele, maharage ni kwamba ruzuku haijafanya lolote kumnufaisha mtanzania mlipa kodi wa mbagala Dar es salaam.

Wafanyabiashara wachache na wakenya ndio wanaofaidika wa ruzuku hiyo.
 
We jamaa tuulize sisi wakulima ndo tutakwambia ni namna mbolea za Ruzuku zimetusaidia. Inawezekana kukawa na mapungugu ya hapa na pale ila kiukweli mama kaupiga mwingi sana kwenye hili.
 
Amesema haimsaidii mtumiaji wa bidhaa anayeishi mbagala. Wewe ukifanikiwa kulima halafu mtumiaji akashindwa kununua ndio mnakuwa m'mefanya nini sasa hapo
 
Ruzuku imeanza kutolewa msimu wa kilimo wa 2022/2023 ambapo mazao ya msimu huo yataanza kuvunwa mwezi wa March na kuendelea. Tulieni bei itaanza kushuka sio mda.
 
Hizi ni propaganda, na tumezizoea.
 
Mbolea ya ruzuku ni bei gani?
Ruzuku imeanza kutolewa msimu wa kilimo wa 2022/2023 ambapo mazao ya msimu huo yataanza kuvunwa mwezi wa March na kuendelea. Tulieni bei itaanza kushuka sio mda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…