π π π π...Watz ni wajinga sana aisee!
Kwahiyo mlitegemea kabisa kuna kitu kinafanyika?
Shida ni kwamba mama ana wapiga debe wengi mno
Kwanini uchaguzi unachelewa? tufanye jambo letuHakika serikali inacheza na akili zetu ni afadhali ingekaa kimya kuliko kutoa matumaini ya unafuu wa maisha ambao haupo.
Ni ukweli uliowazi kuwa serikali imehusika kwa kiasi kikubwa kupanda kwa gharama za maisha kwa sababu ingewezekana kabisa serikali kuchukua hatua za kuzuia kupanda kwa bei za mafuta mapema, kwani jambo hili halikuwa dharula.
View attachment 2221840
Hivi zile jojo za watoto bei gani?πππNaipenda swrikali yangu lakini kupunguza bei kwa kiwango cha senti ambayo hata chenji dukani haurudishiwi,unaweza kusamehe na wala senti hiyo haitumiki tena kupata chochote hapa tanzania ikiwa peke yake sio poa saana.
Aisee weweMama Piraa