Elections 2010 Rwakatare atikisa Bukoba

Plato

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
420
Reaction score
94
Ana mkutano wa kampeni maeneo ya rwamishenye,shughuli mjini zimeathirika kwani mamia kwa maelfu ya watu wamefurika.wadau kwa kweli bkb hapatoshi.kagasheki anaonekana kuzidiwa kabisa.nguvu ya fedha inaonekana haina maana kabisa mbele ya nguvu ya uma.
 
na bado, huyu kagasheki ni mmoja wa watu nisiowapenda

hata kidogo ni mtu ambaye yaani sijui niseme je ..........!!!

kura zao zote ni kwa slaa na rwakatare
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…