Sorry kwa julio na watanzania wapenda michezo ingawa bado tunauwezo wa kuibadilisha
mechi hii na matokeo yanaonyesha vijana wa rwanda watatupiga 3 kwa mbili na hili litabadilika
tu kati ya viongozi wa timu yetu wataacha kushirikisha ushikirkina kwenye hizi mechi
nawatakia kila la kheri