Rwanda amavubi bingwa cecafa cup

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,006
Timu ya taifa ya rwanda inatarajia kuchukua ubingwa wa cecafa muda mfupi ujao
kwa niaba ya watanzania tunawatakia mchezo mwema na ushindimunono
 
naomba ufafanuzi hapo kwenye red
 
Wewe vipi? Una Dual citizenship nini? Mimi na wengine wengi tu hatujakutuma ututoleee tamko kuwatakia Rwanda Ushindi. Lol!
 
Timu ya taifa ya rwanda inatarajia kuchukua ubingwa wa cecafa muda mfupi ujao
kwa niaba ya watanzania tunawatakia mchezo mwema na ushindimunono
Mkuu usiwachukulie poa Uganda.
 
umeshatafuta pakujificha, mpira unachezwa uwanjani not otherwise. Mwamkie bingwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…