Rwanda: Diane Rwigara aondolewa kwenye kinyang’anyiro cha Urais

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Mwanasiasa wa upanzani nchini Rwanda Diane Rwigara ametupwa nje ya kinyang’anyiro cha urais kwa kutotimiza vigezo vya Tume ya Uchaguzi ya nchi hiyo.

IMG_0341.jpeg

Kulingana na Mwenyekiti wa Tume hiyo Oda Gasinzigwa, Rwigara pamoja na kuwa na vitambulisho ghushi vya wafuasi wake pia alishindwa kuwasilisha hati ya rekodi ya uhalifu.

''Rwigara Shima Diane, badala ya hati ya rekodi ya uhalifu yeye aliwasilisha nakala ya kesi. Pia alitoa hati ya kuzaliwa badala ya hati ya kubainisha uraia wake wa asili kama inavyoombwa na tume ya uchaguzi. Kuhusu saini za wafwasi wake zinazoombwa na tume ya uchaguzi, alikosa saini za watu angalau 12 walio na vitambulisho halali kutoka wilaya na ambao wako katika orodha ya wapiga kura wa wilaya hizo 8. Kadhalika katika wilaya 3 wafwasi wake walitumia vitambulisho ghushi,’’ alisema Bi Gasinzigwa.

Miongoni mwa wagombea 9 waliotaka kuwania kiti cha urais ni wagombea watatu tu waliotangazwa katika orodha ya muda iliyotolewa na tume ya uchaguzi ,akiwemo rais Paul Kagame atakayegombea muhula wa 4 madarakani.

Wengine ni mwenyekiti wa chama cha Green Frank Habineza na Philippe Mpayimana ambaye ni mgombe binafsi- Kwa ujumla watu 9 walikuwa wamewasilisha makaratasi wiki iliyopita wakitaka kuwania kiti cha urais- sita hawakuidhinishwa na tume ya uchaguzi.

Wiki iliyopita alipowasilisha makarasi ya kugombea urais Rwigara aliambia vyombo vya habari kuwa na matumaini ‘’mara hii atakubaliwa kugombea’’ kwa kile alichosisitiza kuwa ‘’hata nilizidisha idadi ya saini za wafwasi zinazohitajika.

Kwa mjibu wa sheria ya uchaguzi kila mgombea katika uchaguzi mkuu anaombwa kupata saini za wafwasi 600 yaani wafwasi 20 kutoka wilaya 30 za Rwanda.

Katika uchaguzi uliopita mwaka 2017 pia Diane Rwigara alizuiwa kugombea urais kwa kile ambacho tume ya uchaguzi ilisema alishindwa kukidhi vigezo vya tume ya uchaguzi ikiwa ni pamoja na saini ghushi za wafwasi wake.

Uchaguzi wa mwaka huu ambao utafanyika tarehe 14 mwezi Julai huenda ukawa ni marudio ya uchaguzi wa mwaka 2017 ambapo Rais Kagame alichuana na Phillippe Mpayimana na Frank Habineza ambao hawakupata hata asilimia moja ya kura.

For Rwandese: Diane Rwigara yananiwe kujya mu cyiciro cyo gutoranya abakandida ba perezida mu matora ari imbere
 
Walasaze,mu cyiciro cy’abagore hakiriwe abifuza kuba abakandida muri bo ntibujuje ibisabwa, mu rubyiruko hasabye muri bo ntibujuje ibisabwa naho mu bafite ubumuga hasabye muri bo ntibujuje ibisabwa nnatende nneyo mwa Akagame.
 
Mwanasiasa wa upanzani nchini Rwanda Diane Rwigara ametupwa nje ya kinyang’anyiro cha urais kwa kutotimiza vigezo vya Tume ya Uchaguzi ya nchi hiyo.

Kulingana na Mwenyekiti wa Tume hiyo Oda Gasinzigwa, Rwigara pamoja na kuwa na vitambulisho ghushi vya wafuasi wake pia alishindwa kuwasilisha hati ya rekodi ya uhalifu.

''Rwigara Shima Diane, badala ya hati ya rekodi ya uhalifu yeye aliwasilisha nakala ya kesi. Pia alitoa hati ya kuzaliwa badala ya hati ya kubainisha uraia wake wa asili kama inavyoombwa na tume ya uchaguzi. Kuhusu saini za wafwasi wake zinazoombwa na tume ya uchaguzi, alikosa saini za watu angalau 12 walio na vitambulisho halali kutoka wilaya na ambao wako katika orodha ya wapiga kura wa wilaya hizo 8. Kadhalika katika wilaya 3 wafwasi wake walitumia vitambulisho ghushi,’’ alisema Bi Gasinzigwa.

Miongoni mwa wagombea 9 waliotaka kuwania kiti cha urais ni wagombea watatu tu waliotangazwa katika orodha ya muda iliyotolewa na tume ya uchaguzi ,akiwemo rais Paul Kagame atakayegombea muhula wa 4 madarakani.

Wengine ni mwenyekiti wa chama cha Green Frank Habineza na Philippe Mpayimana ambaye ni mgombe binafsi- Kwa ujumla watu 9 walikuwa wamewasilisha makaratasi wiki iliyopita wakitaka kuwania kiti cha urais- sita hawakuidhinishwa na tume ya uchaguzi.

Wiki iliyopita alipowasilisha makarasi ya kugombea urais Rwigara aliambia vyombo vya habari kuwa na matumaini ‘’mara hii atakubaliwa kugombea’’ kwa kile alichosisitiza kuwa ‘’hata nilizidisha idadi ya saini za wafwasi zinazohitajika.

Kwa mjibu wa sheria ya uchaguzi kila mgombea katika uchaguzi mkuu anaombwa kupata saini za wafwasi 600 yaani wafwasi 20 kutoka wilaya 30 za Rwanda.

Katika uchaguzi uliopita mwaka 2017 pia Diane Rwigara alizuiwa kugombea urais kwa kile ambacho tume ya uchaguzi ilisema alishindwa kukidhi vigezo vya tume ya uchaguzi ikiwa ni pamoja na saini ghushi za wafwasi wake.

Uchaguzi wa mwaka huu ambao utafanyika tarehe 14 mwezi Julai huenda ukawa ni marudio ya uchaguzi wa mwaka 2017 ambapo Rais Kagame alichuana na Phillippe Mpayimana na Frank Habineza ambao hawakupata hata asilimia moja ya kura.

For Rwandese: Diane Rwigara yananiwe kujya mu cyiciro cyo gutoranya abakandida ba perezida mu matora ari imbere
Kagame mwoga sana haamini kabisa kama anaweza akashinda kwa matakwa ya wananchi!!
Kama kweli anadai wananchi wanamkubali kwann anawafunga wapinzani wake
 
Hataki uchafu wake utajwe na kujulikana wakati wa kampeni. Ushindi wa mapema kabisa kwa Kagame.
 
Hautawasikia Wazungu wanalalamika kuminywa kwa demokrasia. Kwa sababu Kagame anakula nao. Ila ingekuwa Hayati Magufuli... 😁
Chadema wangeenda UN kulalamika na kuanza kuchangisha michango ili kwenda duniani kote kutangaza mabaya ya awamu ya tano 😂
 
Huyu dada anazidi kukomaa kisiasa. Kagame kwa kujua amankwa kutokujua anamkomaza huyu dada. The problem of all dictactors is that they are scared of competitors. In turn, they make their competitors stronger day by day.
This woman will automatically be killed or rise to an austanding political profile. Time will tell.
 
Kabisa mkuu hii ni fact 100%
 
Moja ya sifa kuu ya madikteta ni kuwa mwoga na kuwa Paranoid.

Hapo hakuna uchaguzi ni sawa tu na Tanzania, Uganda, Equatorial Guinea, Togo, Cameroon, Democratic Republic of Congo, Republic of Congo, Burundi, Egypt, Ethiopia, Zimbabwe na bila kusahau kinara wa magumashi ya uchaguzi yaani Russia.

Chaguzi hazina kabisa maana kwenye hizo nchi zilizotajwa hapo juu.
 
Mwanasiasa wa upanzani nchini Rwanda Diane Rwigara ametupwa nje ya kinyang’anyiro cha urais kwa kutotimiza vigezo vya Tume ya Uchaguzi ya nchi hiyo.

Kulingana na Mwenyekiti wa Tume hiyo Oda Gasinzigwa, Rwigara pamoja na kuwa na vitambulisho ghushi vya wafuasi wake pia alishindwa kuwasilisha hati ya rekodi ya uhalifu.

''Rwigara Shima Diane, badala ya hati ya rekodi ya uhalifu yeye aliwasilisha nakala ya kesi. Pia alitoa hati ya kuzaliwa badala ya hati ya kubainisha uraia wake wa asili kama inavyoombwa na tume ya uchaguzi. Kuhusu saini za wafwasi wake zinazoombwa na tume ya uchaguzi, alikosa saini za watu angalau 12 walio na vitambulisho halali kutoka wilaya na ambao wako katika orodha ya wapiga kura wa wilaya hizo 8. Kadhalika katika wilaya 3 wafwasi wake walitumia vitambulisho ghushi,’’ alisema Bi Gasinzigwa.

Miongoni mwa wagombea 9 waliotaka kuwania kiti cha urais ni wagombea watatu tu waliotangazwa katika orodha ya muda iliyotolewa na tume ya uchaguzi ,akiwemo rais Paul Kagame atakayegombea muhula wa 4 madarakani.

Wengine ni mwenyekiti wa chama cha Green Frank Habineza na Philippe Mpayimana ambaye ni mgombe binafsi- Kwa ujumla watu 9 walikuwa wamewasilisha makaratasi wiki iliyopita wakitaka kuwania kiti cha urais- sita hawakuidhinishwa na tume ya uchaguzi.

Wiki iliyopita alipowasilisha makarasi ya kugombea urais Rwigara aliambia vyombo vya habari kuwa na matumaini ‘’mara hii atakubaliwa kugombea’’ kwa kile alichosisitiza kuwa ‘’hata nilizidisha idadi ya saini za wafwasi zinazohitajika.

Kwa mjibu wa sheria ya uchaguzi kila mgombea katika uchaguzi mkuu anaombwa kupata saini za wafwasi 600 yaani wafwasi 20 kutoka wilaya 30 za Rwanda.

Katika uchaguzi uliopita mwaka 2017 pia Diane Rwigara alizuiwa kugombea urais kwa kile ambacho tume ya uchaguzi ilisema alishindwa kukidhi vigezo vya tume ya uchaguzi ikiwa ni pamoja na saini ghushi za wafwasi wake.

Uchaguzi wa mwaka huu ambao utafanyika tarehe 14 mwezi Julai huenda ukawa ni marudio ya uchaguzi wa mwaka 2017 ambapo Rais Kagame alichuana na Phillippe Mpayimana na Frank Habineza ambao hawakupata hata asilimia moja ya kura.

For Rwandese: Diane Rwigara yananiwe kujya mu cyiciro cyo gutoranya abakandida ba perezida mu matora ari imbere
HUYU N MFUASI WA KAGAME HAPO ALIPANGWA KUWADANGANYA WAJINGA
 
Kweni huyo Mkobwa ni tishio kwa Paul Kagame?!
 
Back
Top Bottom