The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Ipi hali yake ni Nzuri? Hivi usd 100,000 ni shilingi ngapi za madafu jamani zinazidi gharama ya Nyumba ya Ndulu?
..hiyo USD 100,000 ni hela ndogo sana kwa Tanzania.
..mmeshasahau kwamba serikali ya Tanzania imeamua kutumia Tsh 7 billion kwa ajili ya kampeni za kuvutia washiriki wa kombe la dunia kuweka kambi nchini kwetu?
..mbona kina Chenge,Mkono,..wamechangishana pesa nyingi zaidi ya hizo kusaidia kampeni za CCM Bariadi?
..kwanini Rwanda wamechuna kutusaidia wa-Tanzania, ambao tumekuwa tukiwahifadhi[wanyarwanda] kila wanapopata matatizo, na badala yake wanakwenda kuchangia Haiti?
Nakataa, nakataa, nakataa. Rwanda hawajatupita. Unless mfafanue "wametupita" kivipi na kwenye nini lakini kama kimaendeleo....hell no. Rwanda ni nchi ya dunia ya tatu kama zilivyo karibu nchi zote za kusini mwa sahara.
Hivi mnadhani serikali ya Tanzania haina dola laki moja? I'm sure we can match if we want to. Na kutoa msaada wa dola laki moja Haiti si swala la kutupita kimaendeleo. Ni swala la ubinadamu tu.
Bado nakataa. Si Rwanda, si Kenya, si Burundi....wote tuko dunia ya tatu.
..inawezekana Rwanda wamechuna kwasababu sisi wenyewe wa-Tanzania, au Raisi na serikali yake, tuna-act as if every thing is "dandy and rosy" in Kilosa and Kilombero.
Omega,
Tunachoongelea hapa ni kuwa Rwanda wametushinda kwa kuwa na serikali yenye mwelekeo, uona mbali na utendaji wao.
Sisi raisi wetu JK na serikali yake ni ya kienyeji-enyeji tu. Hata nchi haieleweki inakoelekea.
So what are you trying to say? That we are too slow to act?
Mwanakijiji, Serikali yetu imezoea kuomba na kupewa sio kutoa. Kama kutoa msaada kwa walipa kodi wake inakuwa jambo zito ndio itakuwa Haiti au kwingineko?this is one of those times that you inspire 'hope' ... kesho kuna mtu ataambuka MA!
HIvi hawa Wanyarwanda wanafikiri wao ni kina nani hadi watoe msaada wakati taifa kubwa kama TZ halina uwezo wa kutoa msaada?
".....................Wafadhili wataona tunazo hivyo tukiwaomba hawatatupa tena, achana nao bosi"unajua inawezekana wanapokaa chini na kujadiliana na mtu anatoa wazo "mheshimiwa kwanini tusitoe msaada wa angalau dola laki tano kwa Haiti" unajua atajibiwa nini na wapambe?