Rwanda follows Kenya's Footstep In The English Premier League

napenda jinsi rwanda wanavojikakamua...kuna jamaa wengine ldc wavivu kupindukia staki wataja...always lazying around...sportpesa should now go for big clubs like barca, man u or chelsea if they can afford😀😀
 
hukuwa una jua... tanapa walikuwa huko...
this is childsplay...sportpesa sponsors arsenal, southampton fc everton and hull city...it also sponsors, south african, tanzanian and kenyan clubs
 
Newcastle United, Blackburn Rovers, Stok, WBA and Sunderland

mwaka 2010 hiyo, mmeenda juz tu hapo tena sio nyie ni kampun binafsi (sport pesa) tofaut na sisi na Rwanda View attachment 784339
hahahaha hii ni ndogo sana bro...kuwa tu shirt sponsor wa timu kama everton ni jambo kubwa sana...plus sportpesa wapo mpaka south africa, tanzania na kadhalika...wana spinsor vilabu kama southampton, arsenal, everton na hull city...ongeza vilabu vya south africa, kenya na tz..
 
hahahaha hii ni ndogo sana bro...kuwa tu shirt sposor ni kitu kubwa sana...plus sportpesa wapo mpaka south africa, tanzania na kadhalika
Sportpesa ni kampuni binafsi, inatangaza maslah ya kampuni sio Kenya, na wala hata haisemi inatokea Kenya au wapi, watu wa SA wata log kwenye website ya sport pesa SA, Tz web au app ya sport pesa tz, UK hvyo hvyo, sio mali ya nchi na wala haitangaz nchi

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…