Bawabu wa pili
Senior Member
- Nov 14, 2025
- 147
- 433
Duh mambo ya upako wa bwana yashakuwa magumu.Serikali ya Rwanda imechukua hatua ya kufunga maelfu ya makanisa ya kiinjili nchini humo, kufuatia ongezeko lake la kasi ambalo limeibua wasiwasi miongoni mwa mamlaka za serikali.
Mamlaka zimeyakosoa makanisa hayo kwa kuyataja kuwa yamepoteza mwelekeo wake wa msingi, yakidaiwa kugeuka kuwa “mapango ya wezi” badala ya kutoa huduma za kiroho na kijamii zinazotarajiwa kwa waumini na jamii kwa ujumla.
View attachment 3518973
Rais wa Rwanda, Paul Kagame, amekuwa mstari wa mbele katika kuyakosoa makanisa ya kiinjili yanayoibuka kwa wingi katika nchi hiyo iliyopo ukanda wa Maziwa Makuu. Hatua hiyo ya serikali inakuja wakati kukiwa na malalamiko kuhusu utaratibu wa uendeshaji na malengo ya baadhi ya taasisi hizo za kidini.
Licha ya uamuzi huo, sensa ya Rwanda ya mwaka 2024 inaonesha kuwa idadi kubwa ya raia wa nchi hiyo ni Wakristo. Hali hii imesababisha changamoto kwa waumini wengi, wanaoelezwa kulazimika kusafiri umbali mrefu na kutumia gharama zaidi ili kutafuta maeneo mbadala ya kufanyia ibada.
Uamuzi wa kufunga makanisa hayo unaelezwa kuwa sehemu ya juhudi za serikali kuimarisha udhibiti na usimamizi wa karibu. Baadhi ya makanisa yanadaiwa kukiuka Sheria ya mwaka 2018, inayotaka kila taasisi ya kidini kuwasilisha mipango ya utekelezaji ya kila mwaka, ikieleza kwa kina jinsi shughuli zake zinavyoendana na maadili ya kitaifa.
Naomba na hili tanzania lifike maana yapo mengi mnoSerikali ya Rwanda imechukua hatua ya kufunga maelfu ya makanisa ya kiinjili nchini humo, kufuatia ongezeko lake la kasi ambalo limeibua wasiwasi miongoni mwa mamlaka za serikali.
Mamlaka zimeyakosoa makanisa hayo kwa kuyataja kuwa yamepoteza mwelekeo wake wa msingi, yakidaiwa kugeuka kuwa “mapango ya wezi” badala ya kutoa huduma za kiroho na kijamii zinazotarajiwa kwa waumini na jamii kwa ujumla.
View attachment 3518973
Rais wa Rwanda, Paul Kagame, amekuwa mstari wa mbele katika kuyakosoa makanisa ya kiinjili yanayoibuka kwa wingi katika nchi hiyo iliyopo ukanda wa Maziwa Makuu. Hatua hiyo ya serikali inakuja wakati kukiwa na malalamiko kuhusu utaratibu wa uendeshaji na malengo ya baadhi ya taasisi hizo za kidini.
Licha ya uamuzi huo, sensa ya Rwanda ya mwaka 2024 inaonesha kuwa idadi kubwa ya raia wa nchi hiyo ni Wakristo. Hali hii imesababisha changamoto kwa waumini wengi, wanaoelezwa kulazimika kusafiri umbali mrefu na kutumia gharama zaidi ili kutafuta maeneo mbadala ya kufanyia ibada.
Uamuzi wa kufunga makanisa hayo unaelezwa kuwa sehemu ya juhudi za serikali kuimarisha udhibiti na usimamizi wa karibu. Baadhi ya makanisa yanadaiwa kukiuka Sheria ya mwaka 2018, inayotaka kila taasisi ya kidini kuwasilisha mipango ya utekelezaji ya kila mwaka, ikieleza kwa kina jinsi shughuli zake zinavyoendana na maadili ya kitaifa.
Paul kagame ni Mkatoliki (Mkristo).Kagame ni mwisilamu?
Mleta mada anazingua sana.Paul kagame ni Mkatoliki (Mkristo).
Sasa ndiyo sijajua udini unaingiaje hapo.
Serikali ya Rwanda imechukua hatua ya kufunga maelfu ya makanisa ya kiinjili nchini humo, kufuatia ongezeko lake la kasi ambalo limeibua wasiwasi miongoni mwa mamlaka za serikali.
Mamlaka zimeyakosoa makanisa hayo kwa kuyataja kuwa yamepoteza mwelekeo wake wa msingi, yakidaiwa kugeuka kuwa “mapango ya wezi” badala ya kutoa huduma za kiroho na kijamii zinazotarajiwa kwa waumini na jamii kwa ujumla.
View attachment 3518973
Rais wa Rwanda, Paul Kagame, amekuwa mstari wa mbele katika kuyakosoa makanisa ya kiinjili yanayoibuka kwa wingi katika nchi hiyo iliyopo ukanda wa Maziwa Makuu. Hatua hiyo ya serikali inakuja wakati kukiwa na malalamiko kuhusu utaratibu wa uendeshaji na malengo ya baadhi ya taasisi hizo za kidini.
Licha ya uamuzi huo, sensa ya Rwanda ya mwaka 2024 inaonesha kuwa idadi kubwa ya raia wa nchi hiyo ni Wakristo. Hali hii imesababisha changamoto kwa waumini wengi, wanaoelezwa kulazimika kusafiri umbali mrefu na kutumia gharama zaidi ili kutafuta maeneo mbadala ya kufanyia ibada.
Uamuzi wa kufunga makanisa hayo unaelezwa kuwa sehemu ya juhudi za serikali kuimarisha udhibiti na usimamizi wa karibu. Baadhi ya makanisa yanadaiwa kukiuka Sheria ya mwaka 2018, inayotaka kila taasisi ya kidini kuwasilisha mipango ya utekelezaji ya kila mwaka, ikieleza kwa kina jinsi shughuli zake zinavyoendana na maadili ya kitaifa.
maoni ya kijuha juu ya ukristo, ukristo haujengwi na madhehebu hayo ya kale, Mungu alishayaacha yajiendee kwa taratibu zao za kujiundia. Umewahi kusikia babeli mkuu mama wa makahaba? Elewa mwenendo na muelekeo wa ukristo duniani na changamoto uliopitiaRwanda itapiga sana hatua katika haya maamuzi
Hizi dini kuna muda huwa zinafanya watu wawe kama misukule, makanisa yanayotakiwa kubaki ni Roma, Luthera, Sabato na Moravian, hayo mengine ya kina kiboko ya wachawi na keki za upako yamewaruga watu wengi kisaikolojia
Hakika mkuu Naunga mkono hoja.Rwanda itapiga sana hatua katika haya maamuzi
Hizi dini kuna muda huwa zinafanya watu wawe kama misukule, makanisa yanayotakiwa kubaki ni Roma, Luthera, Sabato na Moravian, hayo mengine ya kina kiboko ya wachawi na keki za upako yamewaruga watu wengi kisaikolojia
Hana shida na misikiti kwa kuwa ipo michache ya kuhudumia watu wengi.hata miskiti hataki ijengwe sana