Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Soma adithi Idadi:16,245 ya muwaiya ibn Abu SufyanUongo siyo kweli. Yesu anasema katika biblia hakuja kutenguwa torati. Tenabhajawahi kula nguruwe na aliwaua jwa kuwaangamiza nguruwe kwa makundi,
Wewe umeingizwa mkenge kufakamia najisi
.
Tupe ufafanuzi wa Mwanzo 1: 26-31faiza unasema kweli,ila MUNGU hakukataza pekee, alikataza pia samaki wasio na magamba kama kambale,sungura n.k.......lakini wa2 wanakomaa nguruwe peke yake!!!
Wachina ndiyo wanaongoza kwa kula nyama ya nguruwe duniani. Na nusu ya nguruwe wote duniani wanafugwa China.Watawajaza Maradhi yasiyotibika hao wanafunzi.
Na huko huko China ndiko kulikoanzia covid 19, au umesahau?Wachina ndiyo wanaongoza kwa kula nyama ya nguruwe duniani. Na nusu ya nguruwe wote duniani wanafugwa China.
China ndiyo nchi yenye uzalishaji mkubwa sana viwandani duniani kwa sana. Huku ikiwa vizuri kwenye maeneo mengine kama ya sayansi na ubunifu.
Bila shaka kula kwao nguruwe kunaweza kuwa kumechangia.
Hata sisi hapa Tanzania kadri tunavyoongeza juhudi za kula nguruwe naona maeneleo nayo yanaongezeka. Maana kwa sasa Watanzania wengi wanakula nguruwe kuliko miaka ya 60, 70, 80 na 90
Na nyie mlipata kwa sababu mnakula nguruwe? Covid ilitengenezwa USA. China ilikuwa distribution pointNa huko huko China ndiko kulikoanzia covid 19, au umesahau?
Siyo kila kila maagizo waliyopewa walawi kwamba ni amri kwa wanadamu wote la khasha bali makatazo na maagizo mengine yalikuwa yanatolewa kwa sababu maalum na jambo maalum. Yako mambo mengi Sana walawi/Wana wa israeli walipewa kwa sababu za kutumiza mahitaji maalum ya Mungu na namna nyinginezo na hayakuhesabiwa kama Amri za Mungu wala makatazo kwa watu wote.Kitabu cha mambo ya walawi 11 : 00 respectively kinasema msile nyama ya nguruwe kwa sababu hacheuwi ni najisi kwenu msile wala kugusa nyama yake.
Kwenye viwango vya ubora wa chakula, unafahamu kama food nutrients za kwenye dagaa ni bora zaidi kuliko nyama ya nguruwe, kwahivo hua naangalia hata bei ya nyama kwenye maduka mbalimbali Halaal meat kama kuku, ng’ombe, ngamia, mbuzi, unganisha samaki na dagaa bei yake iko juu kuliko nyama ya nguruwe ushawahi kujiuliza kwa nini? Jibu ni kua hata protini ipatikanayo kwenye nguruwe ni hafifu sana
Nakuuliza wewe mwenye kumbukumbu za Bata,maana hukumbuki Kama wayahudi hawali nguruwe
Wacha biblia iseme:
... nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
8 Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu.
Hiyo ni kwa sjili yrnu mnayoionsnhakisi, kwa Waislam inabaki kuwa siyo halisi.Biblia hii hii ambayo mnasema sio halisi au leo umeipata biblia halisi ya kutolea maandiko,mana mnaamini biblia imechakachuliwa.
Na huko huko China ndiko kulikoanzia covid 19, au umesahau?
Hiyo ni kwa sjili yrnu mnayoionsnhakisi, kwa Waislam inabaki kuwa siyo halisi.
Qur'an ipo wazi kabisa, kula nguruwe ni haramu. Hili sidhani kama kuna ambae halijuwi Tanzania hii, awe asiwe Muislam.
Hiyo ni kwa sjili yrnu mnayoionsnhakisi, kwa Waislam inabaki kuwa siyo halisi.
Qur'an ipo wazi kabisa, kula nguruwe ni haramu. Hili sidhani kama kuna ambae halijuwi Tanzania hii, awe asiwe Muislam.