Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Well damnn 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Sekta zetu bado zinafanya matangazo old school, hatuwakamanti wale influential people dunanian, taasis influentialHawa jamaa wamedhamiria kukuza utalii kweli kweli. Miaka michache ijayo huenda ikaongoza kuwa na wageni wengi kuliko nchi zenye raslimali nyingi za utalii. Sector ya utalii tanzania nimuhimu tuamke , angalau tuwekeze makatika matangazo ya kidigitali yani kila mtu atakayetaka kupata taarifa kuhusu utalii , africa apelekwe kwenye tovuti ya utalii tanzania. Tusipo amka tutapigwa gepu vibaya sana. Ubunifu kwenye karne ya 21 ndio kila kitu . Tuache kuwekeza kupandisha wasanii wetu mlimani tuwekeze kimataifa zaidi nihayo tu . Mkiunganisha uzi mtajua wenyewe
Mkuu una namba za huyo dada wa kwenye picha
[emoji848]
Umekunywa chai kweli mkuu?Unajua kiingereza? au ndo wale wa "zis water is koldi"
Mtoto yupo vizuri
HahaTatizo akili.
Bongo ukivaa kijani na ukiwa mropokaji tu wanaanza kukushawishi ugombee udiwani, ubunge n.k
Noma sanaZamani mpinzani wa jadi alikuwa mkenya ila sasa meza imepinduka, mpinzani wa jadi kawa Rwanda
Usifikiri hawajui,rambaramba mingi sana ndio inatukwamisha...Sekta zetu bado zinafanya matangazo old school, hatuwakamanti wale influential people dunanian, taasis influential
Wenzetu wanaangalia mbali sana
Mmefanya nn kuhusu hilo?Usifikiri hatujui,rambaramba mingi sana ndio inatukwamisha...
Mna I overrate Rwanda haina lolote.Hawa jamaa wamedhamiria kukuza utalii kweli kweli. Miaka michache ijayo huenda ikaongoza kuwa na wageni wengi kuliko nchi zenye raslimali nyingi za utalii.
Sector ya utalii Tanzania nimuhimu tuamke, angalau tuwekeze makatika matangazo ya kidigitali yani kila mtu atakayetaka kupata taarifa kuhusu utalii, Afrika apelekwe kwenye tovuti ya utalii Tanzania.
Tusipoamka tutapigwa gepu vibaya sana. Ubunifu kwenye karne ya 21 ndio kila kitu. Tuache kuwekeza kupandisha wasanii wetu mlimani tuwekeze kimataifa zaidi nihayo tu.
Mkiunganisha uzi mtajua wenyewe