Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,357
Kainchi ketu kadogo na nusu yake kame tupu lakini tunaongoza ukanda wote wa Afrika mashariki na kati kwa kila kitu, uongozi huu tumeupata kwa sababu tunajua jinsi ya kulazimisha mambo, jinsi ya kuwaburuza kwa pua.
Sisi ni manyang'au na washindi katika kila kitu.
La bomba tuliwaachia maana mlikubali kutafunwa na Museveni hadi mifupa.
Leo hii tunawapa ushindani kwa nchi kama Burundi na Rwanda ambao hatupo nao kwenye mpaka mmoja. Wapo mbali sana na sisi na ni majirani zenu lakini kwasababu nyie ni wazembe wa kutupwa mumeshindwa kuchangamkia fursa hizo ipasavyo.
Wewe wala hujui kwa nini mnalazimisha kuwa hivyo, hiyo yote inategemeana na back historia yetu ya East africa, sisi kama Watanzania huwa Hatukatai kuwa mko advance kwenye viwanda na lobbying za hapa na pale na hiyo ilitokana na historia ya nchi zetu
Kenya ilikuwa ni sehemu ambayo waingereza wamefika yaani ma-Settler same as Zimbabwe, so wali Invest alot kwenye viwanda na Kilimo, sisi Tanzania baaada ya Mjerumani Ambaye kwa kweli alikuwa baba wa Eastern African German na kwa kweli angeifikisha TZ mbali sana kabla ya kushindwa vita ya dunia , baadaya vita ya kwanza ya Dunia Tanganyika by then ilikufa kiuchumi na ilipochukuliwa na kuwa chini ya Muingereza kulikuwa hakuna kitu zaidi ya kuwa soko la industry za Kenya,
Shida mnayotapatapa nayo Wakenya ni kuwa sector ya industry sasa imebadirika sana, Dunia haimtegemei tena British kuwa ndio baba wa Viwanda, kiwanda kikubwa cha hapo Kenya chini ya Mwingereza kinaweza kufungukiwa na mtu yoyote kwa mashine na products za China, India, Turkey nk,
Kaka wewe kweli ni mbumbumbu, wala hujui unachokisema, kwa taarifa yako tu Bado Kenya hamjaweza kutuyumbisha kwenye biashara ya Rwanda au Burundi, kwanza lazima ujue Rwanda na Burundi sio reliable soko la kuuza chochote bado wana rely sana na products za Francophone ( france, Belgium nk)
KAKA AMINI HILI SOKO KUU LA EAST AFRICA NI TANZANIA NA UGANDA, siku Tanzania wakisema bidhaa za Kenya fullstop mtafunga viwanda vyote na uchumi lazima utetemeke same kama ilivyotokea kwenye issue ya KQ, nawaombeni sana mjiandae kwenye hilo