Rwanda: Mishahara ya walimu kuongezwa kwa 88%

1Rwanda franc= Tshs 2.23
 
Mwalimu mwenye cheti Cha certificate Tanzania analipwa kiasi gani?
Wafanyakazi wa Serikali mishahara yao yaanzia 370,000

Sasa hata awe Mwalimu Grade A, ataanza na huo au zaidi
 
Pale unapojaribu kulinganisha idadi ya walimu msingi mkoa WA DSM (Rwanda) na walimu WA Tanzania nzima, rubbish.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…