Rwanda na Ethiopia waomba msaada Marekani kupambana na corona, Trump aahidi kutoa msaada

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
4,051
Reaction score
12,954
Wenzetu wanapambana kwa hali na mali kusaidia na kuokoa maisha ya wananchi wao.

Sisi tumeamua kukaa kimia raia wajifie wenyewe.
 
Mimi na majirani na familia hatujajificha na tuko salama kabisa. Tulianza na Mungu tutamaliza na Mungu.... Mungu ibariki Tanzania
 
Wenzetu wanapambana kwa hali na mali kusaidia na kuokoa maisha ya wananchi wao.

Sisi tumeamua kukaa kimia raia wajifie wenyewe.

Ndiyo tumekaa kimia tumewaachia kazi Randwa na Eithiopia😀😀😀😃
 
Dalili za kukosa kujiamini kutegemea taifa lingine. Wewe kwako ushapata kifo cha Corona
 
Wenzetu wanapambana kwa hali na mali kusaidia na kuokoa maisha ya wananchi wao.

Sisi tumeamua kukaa kimia raia wajifie wenyewe.
Wanapambania matumbo yao
Usidanganywe na mtu, kwamba wanapambania maslahi ya Wananchi wao

Tumbo ni shimo la balaa mbele ya Waroho
 
Wenzetu wanapambana kwa hali na mali kusaidia na kuokoa maisha ya wananchi wao.

Sisi tumeamua kukaa kimia raia wajifie wenyewe.

"Randwa" Hii nchi iko wapi mkuu... 😳 Maana kila Niki search kwenye World map siioni... 😳
 
Hivi wale waliokuwa wanaomba maiti zizagae wako wapi?
 
Back
Top Bottom