Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Mimi na majirani na familia hatujajificha na tuko salama kabisa. Tulianza na Mungu tutamaliza na Mungu.... Mungu ibariki TanzaniaWenzetu wanapambana kwa hali na mali kusaidia na kuokoa maisha ya wananchi wao.
Sisi tumeamua kukaa kimia raia wajifie wenyewe.
Ndiyo tumekaa kimia tumewaachia kazi Randwa na Eithiopia๐๐๐๐Wenzetu wanapambana kwa hali na mali kusaidia na kuokoa maisha ya wananchi wao.
Sisi tumeamua kukaa kimia raia wajifie wenyewe.
Wanapambania matumbo yaoWenzetu wanapambana kwa hali na mali kusaidia na kuokoa maisha ya wananchi wao.
Sisi tumeamua kukaa kimia raia wajifie wenyewe.
"Randwa" Hii nchi iko wapi mkuu... ๐ณ Maana kila Niki search kwenye World map siioni... ๐ณWenzetu wanapambana kwa hali na mali kusaidia na kuokoa maisha ya wananchi wao.
Sisi tumeamua kukaa kimia raia wajifie wenyewe.
Hahaha"Randwa" Hii nchi iko wapi mkuu... ๐ณ Maana kila Niki search kwenye World map siioni... ๐ณ