Rwanda: Rayon Sports imevunja mkataba na mchezaji wa Congo baada ya kushangilia goli kwa style ya kupinga vita nchini mwao

Rwanda: Rayon Sports imevunja mkataba na mchezaji wa Congo baada ya kushangilia goli kwa style ya kupinga vita nchini mwao

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
Klabu ya Rayon Sports [emoji1206] imevunja Mkataba na Mshambuliaji wa kimataifa wa DR Congo [emoji1078] Héritier Luvumbu Baada ya ishara aliyoionyesha akishangilia bao lake kwa kuweka mkono mdomoni na kidole kwenye kichwa wakati wa mechi ya kuwania ubingwa kati ya Rayon Sports na Police FC Februari 11,

Huku ishara hii ikitazamiwa kama Utovu wa nidhamu.

FB_IMG_17078054242928081.jpg
 
Ila kuna vitu vinashangaza sana hapa duniani! Yaani DRC ni linchi likubwa kabisa Barani Afrika! Halafu inasumbuliwa na kanchi kadogo kama Rwanda!!

Au na wenyewe wamekuwa kama Watanzania milioni 60 wanaotawaliwa miaka nenda na kikundi cha watu wachache tu wanaojiita ccm!
 
Binafsi sijaona taarifa rasmi inayosema kafukuzwa Kwa sababu ya ishara hiyo bali utovu wa nidhamu
 
Back
Top Bottom