Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We na wewe uwe unaficha ujinga wako kidogo ata Kama rage aliwalaani sio kwa namna hiiNilikuwa naangalia hapa idadi ya walioenda s.africa pamoja na tkt 48 Bure najiuliza hii NDEGE mbona ilihitaji watu wengi tu
Nikikumbuka vibe la Rwanda coaster 7 najiuliza nn kimewasibu Hawa wah kujazq NDEGE kwenda south africa
Hahahahaha umbumbumbu huwa haujifichiWe na wewe uwe unaficha ujinga wako kidogo ata Kama rage aliwalaani sio kwa namna hii
Hii ishu ya umbali wakati simba anaenda zambia na Yanga anaenda Rwanda wanayanga mliikomaa Sana humu kwamba umbali siyo sababu .Hivi huwa mnatumia Makalio kufikiria au?? Unafananisha Tz-Rwanda na Tz-South Afrika...?? Mbona hauhoji kwanini Simba walienda mabasi mawili Zambia lakini Egypt hawajapeleka hata moja.?? Upuuzi mtupu HUNA AKILI
Mkuu Rwanda ni East Africa unaingia na paspoti ya karatasi. Sauzi lazima uwe na gamba.Nilikuwa naangalia hapa idadi ya walioenda s.africa pamoja na tkt 48 Bure najiuliza hii NDEGE mbona ilihitaji watu wengi tu
Nikikumbuka vibe la Rwanda coaster 7 najiuliza nn kimewasibu Hawa wah kujazq NDEGE kwenda south africa
Uwezo wa watanzania wengi ni mdogo sana kwenye kufikiriRwanda sio sawa na SA
Mada zingine bana..haziko mbali na umbumbumbu wenyewe
Tunaenda Misri na Coaster za kutosha dadadekiFainali ni
Yanga vs Al ahly
Uko sahihi MkuuUwezo wa watanzania wengi ni mdogo sana kwenye kufikiri
Dah! hivi kwanini mbumbumbu hua hamna akili kiasi hikiHii ishu ya umbali wakati simba anaenda zambia na Yanga anaenda Rwanda wanayanga mliikomaa Sana humu kwamba umbali siyo sababu .
Mlifungua nyuzi nyingi humu za kuiponda simba kwamba Mashabiki wake hawana pesa , hawana mapenzi kwa timu yao na niwa wachache.
Leo mnakuja na utetezi wa umbali .
Luc Eymael na Haji Manara hawakusea kuwaita hamnazo .
Nauli ni lakh 6Nilikuwa naangalia hapa idadi ya walioenda s.africa pamoja na tkt 48 Bure najiuliza hii NDEGE mbona ilihitaji watu wengi tu
Nikikumbuka vibe la Rwanda coaster 7 najiuliza nn kimewasibu Hawa wah kujazq NDEGE kwenda south africa
Uwezo wako wa kufikiri umekomea hapa, poleNilikuwa naangalia hapa idadi ya walioenda s.africa pamoja na tkt 48 Bure najiuliza hii NDEGE mbona ilihitaji watu wengi tu
Nikikumbuka vibe la Rwanda coaster 7 najiuliza nn kimewasibu Hawa wah kujazq NDEGE kwenda south africa
Tuna zile ndege kubwa mbili, zinatosha kabisaTunaenda Misri na Coaster za kutosha dadadeki
Hata kama ni shabiki wa Mamelodi akili yake ina mikwaruzoHuyu pdidy ni shabiki wa Yanga,wanayanga msimseme sana