Serikali ya Rwanda imesema haitasitisha mpango wa kutoa chanjo ya Astrazeneca.
Afisa mkuu wa mamlaka ya afya Dkt. Sabin Nsabimana amewaambia waandishi wa habari kuwa chanjo ya Astrazeneca haina madhara.
Tangu wiki mbili zilizopita Rwanda imetoa chanjo kwa watu wapatao 257,000, ambapo theluthi walipewa chanjo ya Astrazeneca na wengine Pfizer.
Rwanda inatarajiwa kupokea chanjo ya corona 1,098,960 haina ya Astrazeneca/Oxford na Pfizer/Biontech zitatolewa kwa awamu ya kwanza na ya pili mwaka 2021.
Chanzo: BBC SWAHILI.