Watafanyaje sasa wakati wamenunua kwa mabilioni mzigo upo wa kutoshaKazi ipo wameamua kujitoa muhanga are they seeious muda ni rafiki mzuri wa majibu sahihi
Kwahiyo una amini Pesa ina thamani kuliko uhai wa mtu?Watafanyaje sasa wakati wamenunua kwa mabilioni mzigo upo wa kutosha
Kwahiyo una amini Pesa ina thamani kuliko uhai wa mtu?
Unashangaza aisee.
Serikali ya Rwanda imesema haitasitisha mpango wa kutoa chanjo ya Astrazeneca.
Afisa mkuu wa mamlaka ya afya Dkt. Sabin Nsabimana amewaambia waandishi wa habari kuwa chanjo ya Astrazeneca haina madhara.
Tangu wiki mbili zilizopita Rwanda imetoa chanjo kwa watu wapatao 257,000, ambapo theluthi walipewa chanjo ya Astrazeneca na wengine Pfizer.
Rwanda inatarajiwa kupokea chanjo ya corona 1,098,960 haina ya Astrazeneca/Oxford na Pfizer/Biontech zitatolewa kwa awamu ya kwanza na ya pili mwaka 2021.
Chanzo: BBC SWAHILI.
Hiyo idadi inaongezeka tu mara 17 mara 40.Safi sana kagame ,chanjo ya astrazeneca imeshaotelewa kwa zaidi ya watu 15 milioni ,waliopata blood clot kati ya hao waliochanjwa ni 40 tu na uchunguzi unaendelea kuangalia kama ilishababishwa na hiyo chanjo.
Mkuu hata wakisitisha chanjo ya astrazeneca bado case za blood clots zitaongezeka tu hata kwa wasiopata chanjo.....Sasa 40 cases kati ya 15milions hapo utapata percentages ngapi? Effectiveness = 99.99973333333333% ukiround up unapata 100%...Kwahiyo hizo cases 40 ni negligible ndio maana WHO wakasema watu waendelee kupata chanjo mpaka uchunguzi utakapokamilika.Hiyo idadi inaongezeka tu mara 17 mara 40.
Hapo ni kujiongeza tu,ndio maana nchi zengine wakaona ngoja tusitishe kwanza wao wameamua hivyo.Mkuu hata wakisitisha chanjo ya astrazeneca bado case za blood clots zitaongezeka tu hata kwa wasiopata chanjo.....Sasa 40 cases kati ya 15milions hapo utapata percentages ngapi? Effectiveness = 99.99973333333333% ukiround up unapata 100%...Kwahiyo hizo cases 40 ni negligible ndio maana WHO wakasema watu waendelee kupata chanjo mpaka uchunguzi utakapokamilika.
Wapo sahihi maana ni option sio lazima ndio maana KAGAME kasema wao wataendelea kutoa chanjo tu.Hapo ni kujiongeza tu,ndio maana nchi zengine wakaona ngoja tusitishe kwanza.
Kabisa hapo sawa.Wapo sahihi maana ni option sio lazima ndio maana KAGAME kasema wao wataendelea kutoa chanjo tu.
Sio kweli mkuu.ingekua kwa idadi hiyo ya 40 victims wa hiyo chanjo,Basi isingepigiwa kelele kiasi hicho.kuna nchi zaidi ya 12 mpaka Sasa ambazo zilipokea chanjo hiyo,zimesitisha kutumia.Mkuu hata wakisitisha chanjo ya astrazeneca bado case za blood clots zitaongezeka tu hata kwa wasiopata chanjo.....Sasa 40 cases kati ya 15milions hapo utapata percentages ngapi? Effectiveness = 99.99973333333333% ukiround up unapata 100%...Kwahiyo hizo cases 40 ni negligible ndio maana WHO wakasema watu waendelee kupata chanjo mpaka uchunguzi utakapokamilika.
Uongo hupingwa kwa ukweli,Sio kweli mkuu.ingekua kwa idadi hiyo ya 40 victims wa hiyo chanjo,Basi isingepigiwa kelele kiasi hicho.kuna nchi zaidi ya 12 mpaka Sasa ambazo zilipokea chanjo hiyo,zimesitisha kutumia.
Sio kweli mkuu.ingekua kwa idadi hiyo ya 40 victims wa hiyo chanjo,Basi isingepigiwa kelele kiasi hicho.kuna nchi zaidi ya 12 mpaka Sasa ambazo zilipokea chanjo hiyo,zimesitisha kutumia.
Ndo akili za mataga hizo mkuu ..mtu unaishi kwa kupewa buku 7 unatgemea utakuwa na akili.!!Kwahiyo una amini Pesa ina thamani kuliko uhai wa mtu?
Unashangaza aisee.