Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapumziko bila bilaMwenye update ya mechi hii atujuze wajameni .
Mbona mechi hii kama wengi wameipotezea sana hasa humu JF?au ndo kipigo cha sudan kimefanya watu wasuse?
Tz hamna kitu matatizo yaleyale tu no mshambuliaji
0-0 mechi mbovu kabisa,pipa na mfunikoMwenye update ya mechi hii atujuze wajameni .
Mbona mechi hii kama wengi wameipotezea sana hasa humu JF?au ndo kipigo cha sudan kimefanya watu wasuse?
Kuanzia kiungo mshambuliaji hakunaBora ligi iendelee yaani timu haina mfungaji kabisa
Ndiyo ujinga tulionao,badala ya kuangalia consistence tutaangalia kisa kamfunga Yanga au Simba or AzamHawezekani kuchukua wachezaji(Ditram Nchimbi)kam unabet vile.Kisa kafunga magoli timu kuwa basi ndo eti mfungaji wa taifa ujinga huu.
Tatizo TFF hawazunguki mikoa yote.Mbeya na Songwe huwa kuna vijana wana vipaji sana.Zanzibar pia na mikoa karibia mingi.Lakin wao wanajikalia Dar tu kwa masharo .Wakina kevin John wako wengi sana mikoani tena wengine wanaumri mdogo kabisa lakin u17 yote ni ya Dar.Hii sio sawa kabisa
huyu mrundi anatuharibia timu....anajaza mikia fc.Sijawahi kuona ugoro kama wa jana. Yan kwa timu ile hata nikijikusanya nawenzangu tuliosoma pamoja tukaunda timu stars haitifungi