Rwanda vs Tanzania mechi ya kirafiki

mikedean

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2018
Posts
3,267
Reaction score
4,634
Mwenye update ya mechi hii atujuze wajameni .
Mbona mechi hii kama wengi wameipotezea sana hasa humu JF?au ndo kipigo cha sudan kimefanya watu wasuse?
 
Mkuu mpaka tuwe tunashinda shinda ndio tutashoboka sahzi acha tuipotezee tu
 
Bora ligi iendelee yaani timu haina mfungaji kabisa
 
Jaman mgungaji wa hat trick wa Yanga leo hajacheza?maana aliitwa baada ya kufunga magoli yale
 
Hawezekani kuchukua wachezaji(Ditram Nchimbi)kam unabet vile.Kisa kafunga magoli timu kuwa basi ndo eti mfungaji wa taifa ujinga huu.
 
Mwenye update ya mechi hii atujuze wajameni .
Mbona mechi hii kama wengi wameipotezea sana hasa humu JF?au ndo kipigo cha sudan kimefanya watu wasuse?
0-0 mechi mbovu kabisa,pipa na mfuniko
 
Tatizo TFF hawazunguki mikoa yote.Mbeya na Songwe huwa kuna vijana wana vipaji sana.Zanzibar pia na mikoa karibia mingi.Lakin wao wanajikalia Dar tu kwa masharo .Wakina kevin John wako wengi sana mikoani tena wengine wanaumri mdogo kabisa lakin u17 yote ni ya Dar.Hii sio sawa kabisa
 

Hoja yako ni nzito na ya maana kubwa
 
Sijawahi kuona ugoro kama wa jana. Yan kwa timu ile hata nikijikusanya nawenzangu tuliosoma pamoja tukaunda timu stars haitifungi
huyu mrundi anatuharibia timu....anajaza mikia fc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…