luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
yap rwanda wana mipango ya kuifanya rwanda kuwa mwenyeji wa mikutano mikubwa ya kimataifa ...nadhani ni hatua nzuri sana kwa kukuza utalii maana watu 1800 mzee hapo ni mwendo wa dollari tu ...hapa bongo sijui tuna kwama wapiDaah jamaa amehost delegation ya watu 1800 hapo Kigali kwnye hilo tukio la CEO panel.
For the mean time Pananukia ma USD tu pande hizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuna resources nyingi mkuu,ndio maana hatujali sana.yap rwanda wana mipango ya kuifanya rwanda kuwa mwenyeji wa mikutano mikubwa ya kimataifa ...nadhani ni hatua nzuri sana kwa kukuza utalii maana watu 1800 mzee hapo ni mwendo wa dollari tu ...hapa bongo sijui tuna kwama wapi
NO ndugu yangu lazima tubadilishe approach yetu yaani ni lazima Tz iwe vibrant ni lazima hizi fursa sisi tuzikamate ili kutangaza utalii wetu vizuriTuna resources nyingi mkuu,ndio maana hatujali sana.
Wao natural resources chache inabidi wajaribu ku-base kwny service industry,kipindi cha JK mwaka 2008 kulifanyika mkutano wa Sulivan Summit pale Arusha wahudhuriaji 1300 daah mjini biashara zilichangamka balaa kila kona ma-dolari tu.
Sijui kwanini hatukuendelea na spirit ile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku nako namanga issue inaanzaYes wadau habari za jioni, Hii issue naona bado inaendelea maana PK juzi alikuwa ktk mkutano flani iv bado mzee akaonyesha uwepo wa tatizo na analaumu uongozi wa juu wa UGANDA hasa RAISI lkn pia Rwanda nimesikia imewaambia wanafunzi wa kinyarwanda wanaosoma Uganda wanapaswa kurudia masomo yao Rwanda eti sababu mihula ipo tofauti ...embu tazma hii link uone PK anavyo comment
Huku nako namanga issue inaanza
Daah jamaa amehost delegation ya watu 1800 hapo Kigali kwnye hilo tukio la CEO panel.
For the mean time Pananukia ma USD tu pande hizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Namanga kuna saga gani au ni kile la bidhaa za kenya kupimwa ubora ? Kuna makala jana nilikuwa nasoma online la gazeti moja toka uganda ..mwandishi wa lile makala alilalamikia yakuwa viongozi wa nchi za afrika mashariki wanakasoro ktk kusimamia mkataba wa EAC alitolea mfano ya kuwa hata Kenya nanuganda wana mgogoro ambapo waganda wanaotaka kufanya kazi kenya wanasumbulia kupata work permit vivyo viyo kwa ugand na wao wana wabania wakenya kupata work permit nchini uganda hivyo mi nafikiri bado kuna kasoro ndanibya kila nchiHuku nako namanga issue inaanza
Shida yake ni bwn Vurugu.Ukiachana na kupenda vita PK Ana akili nyingi saana
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Alinitibua saana alipowakorofisha mpaka south Africa kisa sifa za kijinga kutaka NISS
Ionekane kama MOSSAD
Ila yupo vizuri anavyopambama na wafaransa
Sent using my iPhone using jamiiforum app