Wakati huohuo Rais mataputapu anang'aa macho tu kama pimbi!
Twende tuhamie kenya au tubadilishane uhuru na mataputapuWakati huohuo Rais mataputapu anang'aa macho tu kama pimbi!
🤣🤣🤣Imedharau vyote viwili!😄Tulishaiambia korona ichague moja either kukaa kwa adabu au kuondoka
Inabidi jeshi la polisi lichukue hatua kali🤣🤣🤣Imedharau vyote viwili!😄
Usambazaji wa chanjo kwenye hospitali za mikoa hapo.Rwanda inapokea awamu ya kwanza ya chanjo ya Covid 19 yenye dozi zipatazo 240,000 za Astra Zenneca kutokea za Oxford. Dozi hizo zinatarajiwa kufika nchini humo siku ya jumatano asubuhi.
Aidha, awamu ya pili ya ya upokeaji wa chanjo hizo inatarajiwa kuwa na jumla ya dozi 171,480.
View attachment 1716209