Rwanda wasambaza chanjo kwenye hospitali za mikoa

Mr Putin

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2019
Posts
515
Reaction score
520
Ndege ya Qator na KLM zilizobeba chanjo,zilipofika tu!wa katumia Helicopters kusambza kwenye hospitali za mikoa.

 
Kwanza wahakikishe wakubwa wote wanachanjwa kisha matajiri na watu muhimu...(joke)
 
Hiv Rwanda nayo ina mikoa? Maana yenyewe kama kamkoa tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…