Rwanda wasusia bidhaa za Tanzania na kufuata za Wakenya

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Sijajua nini kimeibuka nyuma ya pazia, ila Rwanda ambao hatuchangii mpaka nao wameipa Tanzania jirani wao kisogo na kufuata bidhaa za Kenya, jameni tuchangamkie hii fursa kiunyang'au, ni vyema sasa bandari ya Kisumu imeboreshwa .....baba lao Afrika Mashariki

====

Rwanda government has imposed ban on cement imported from Tanzania, this website has learnt.

Rwanda imports from Tanzania were US$224.54 Million during 2019, according to the United Nations COMTRADE database on international trade.

According to United Nations COMTRADE data, Rwanda imported from Tanzania salt, sulphur, earth stone, plaster, lime and cement worth $ 48.38m in the year 2019.

Rwanda maintains single cement factory Cimerwa Cement Limited (CCL) a manufacturer which cannot satisfy the local market on top of high costs of production and poor quality products.

Cimerwa Cement Limited operates as a 51 percent subsidiary of Pretoria Portland Cement Company (PPC Limited), a South African cement-manufacturing conglomerate.

Last year, Rwanda banned Uganda’s cement imports claiming that it was found to have breached packaging control saying that each unit weighed below 50kg it was meant to be.

Subsequently, Kigali turned to Tanzania as an alternative for more products through Rusumo One-stop border post.

Goods made from Tanzania like Simba Cement and other Swahili branded products such as, Jambo, Safi, Habari and Konyagi liquor started flooding Kigali markets.

According to a source within Kigali establishment, Kagame has now changed his mind and is now turning to Kenya as the last resort for essential commodities.

It is not clear whether Kigali has also gone on wrong page with the nonsense Dodoma administration which is also a sworn sympathizer of Rwanda’s sworn enemy Burundi.

It is reported that Kigali has already approached Nairobi to provide other goods apart from cement which will be imported into the country through Uganda.

“They are still discussing no statement yet. But contracts have been given even truck drivers briefed that they will soon be using the northern corridor route”. Said a source.

Paul Kagame recently told the media in Kigali that the country’s trade has been hit and more seriously in Rwanda by corona virus as a landlocked country.

“We have no easy access to the sea and have to go through the Central Corridor through Dar or the Northern Corridor through Uganda and Mombasa. This means serious problems for us”.

He added “the main problem affecting Rwanda is through the Central Corridor. We’ve talked to our Tanzanian neighbors; so we’re ones really begging. But it’s going to be difficult to say ‘do this on my terms’. We’re put in a situation where we suffer for not doing it their way”.

“We are suffering a lot on our side, and almost reaching a point where it is like we are being blackmailed to do things the way our neighbors understand things”.

Rwanda Imposes Ban on Cement from Tanzania, Runs to Kenya for Rescue - Command One Post
 
Hii habari ni ya uongo kwa 5000%.

1.Hilo gazeti lenyewe la Commandpost ni la Uganda na hua linashirikiana na vigazeti/blogs uchwara kama Soft power ug kuandika propaganda kuhusu rwanda na serikali yake kwa ujumla na viko chini yaCMI(Chieftaincy of Military Intelligence) ya Uganda.

2.Uganda anaumia sana baada ya Boarder yake na Rwanda iitwayo Gatuna na Cyanika kufungwa na sasa hana Access na soko la Rwanda na pia hawezi kupitisha bidhaa zake kwenda Congo.,inshort mahitaji yote ya bidhaa za Uganda ndani ya Rwanda na kwa upande wa Congo kwenye population ya watu zaidi ya mil. 30 Gap lake limejazwa na bidhaa kutoka Tanzania so hapo Tz na wafanyabiashara wa Tz ndio wanaenjoy.

Kwa mwaka jana tu mpk kufika July tayari Uganda ilikua imepoteza $920mil(source ya hii habari ni the eastafrican.co.ke) ,nadhani unaweza uka estimate mpk sasa Uganda imekula hasara ya kiasi gani na M7 yuko kwny pressure kubwa kutoka kwa wananchi wanaoishi kwny wilaya zinazopakana na Rwanda maana miji yao imegruka kua ghost town baada ya boarder kufungwa.

3.Kwa sasa Rwanda inapitisha zaidi ya 90% bidhaa zake zote kupitia bandari ya Dar,hili Kenya linawaumiza saana na Uganda pia wanaumia sana maana mizigo ingetokea Mombasa kupitia Uganda to Rwanda hapo Uganda angefaidika sana,lkn ndio hivyo tena.Na Kabla ya hio boarder kufungwa Kagame alikuja Dar kwa ziara ya Siku 1 akaongea na Magu nadhani alikua anataka assurance ya kwamba akifunga boarder na Uganda uwezekano wa Tz kuweza kukidhi soko La Rwanda baada ya assuramce hio akaenda zake kufunga boarder na Uganda.

4.Baada ya Covid 19 kutokea Rwanda waliamua shule zote kufungwa na mpk sasa bado zimefungwa na serikali yao imeamua huu muda ambapo shule zimefungwa bora wautumie kujenga mashule,na kwa sasa wanajenga zaidi ya madarasa 22,505 kwa hio mahitaji ya cement ni makubwa sana na cement kwa % kubwa inatokea Tz.

Pia Rwanda watahost mkutano wa Jumuiya ya Madola(CHOGM) kwa mwaka 2021 ambapo marais zaidi ya 53 watahudhuria na wageni zaidi ya 8,000 watakuwepo,kwa hio wanatengeneza barabara sana na nyingine wanazi upgrade kwa ajili ya ujio huo na Cement inatumika balaa na Cement hio mostly ingetoka Uganda ila baada ya kupigwa pin kwa sasa Cement hio inatoka Tz.Hicho ni kilio kingine kwa Uganda.

5.Kuna Kiwanda kipya cha Cement huko Rwanda kiitwacho Prime Cement na kile cha siku zote kiitwacho CIMERWA hiki kinazalisha tani 480,000 kwa mwaka wkt demand ni tani 700,000 na hapo hapo bado kina export Cement kwenda Congo kwa hio hapo Scarcity ya Cement haiwezi kuisha ila hicho kiwanda kipya kinachojengwa kitazalisha tani 600,000 kwa mwaka.

Sasa zamani hilo gap la Tani(700,000-480,000)=Tani 280,000 mostly lingejazwa na Cement ya Uganda lkn baada ya kupigwa pini sasa Rwanda Cement iliyojaa ni Twiga Cement na Simba Cement,all the way from Tz na maduka ya rwanda sasa yamejaa bidhaa kutoka Tz kama vile Jambo,Safi,

Hata Gazeti la kiingereza la serikali ya Rwanda(New Rwanda times) likikanusha khs Rwanda kuzuia Cement ya Tz na nitaweka sources nyingine kuonyesha jinsi uganda alivyoumia kibiashara baada ya boarder yake na Rwanda kufungwa.

Lkn kwa kifupi hakuna mgogoro wowote ule kati ya Tz na Rwanda ila kuna Mgogoro wa Rwanda na Uganda huku Media uchwara za Uganda zikichochea kwa kuingiiza Tz baada ya Uganda kunyimwa soko la bidhaa zao.

Ninajaribu ku upload screenshots lkn App inakataa inanipeleka kwenye setting sijui shida ni nini lkn ikikubali nita upload picha zenyewe.
 
Kama ni cement bora waende kuchukua huko huko kenya.
Wamesababisha cement imepanda na twiga cement wanaringa kinoma.
Bora wa hame cement ishuke.
Na wa unga mkono

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Comment ya kizalendo sanaa hii , binafsi nakuunga mkono yaan kama ni kweli itokee iwe kweli tu maana we have nothing to loose nchi kama rwanda ukubwa wake kama wilaya ya mkuranga itatuambia nn sisiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Chief umelijibu hilo zezeta kwa nondo za kisasa sanaa ila mi nimuongee tu nchi ya rwanda ukubwa wake ni kama wilaya ya misenyi ... Leave away na mahitaj yao na issue ya trade tunaweza ishi bila kutegemea biashara toka kwao ila we respect them as a nation
 
Vipi utopolo umerudi tena na vihabari vyako uchwara. Rwanda wamekanusha habari yako hiyo uchwara wao wamefunga mpaka wao na Uganda. Mtakula jeuri yenu sisi tumepakana na nchi nane mkuu hatuna shida sana.
 
Acha tu. Tunateseka sana na cement unaagiza cement mpaka wiki moja cement haijaja ukimuuliza wakala anakwambia magari ya rwanda yamejaa nayo ya nasubiri cement.
Sasa si bora wahamie kenya wapunguze msongamano pale wazo
Comment ya kizalendo sanaa hii , binafsi nakuunga mkono yaan kama ni kweli itokee iwe kweli tu maana we have nothing to loose nchi kama rwanda ukubwa wake kama wilaya ya mkuranga itatuambia nn sisiiiiiiiiiiiiiiiii.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Acha tu. Tunateseka sana na cement unaagiza cement mpaka wiki moja cement haijaja ukimuuliza wakala anakwambia magari ya rwanda yamejaa nayo ya nasubiri cement.
Sasa si bora wahamie kenya wapunguze msongamano pale wazo

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Hahhahha... Mleta mada akisoma hapa anapata hasira!

Kwamba kumbe hiyo bidhaa hata sisi wenyewe hapa ndani tunaweza kula bila kusaz
 
Comment ya kizalendo sanaa hii , binafsi nakuunga mkono yaan kama ni kweli itokee iwe kweli tu maana we have nothing to loose nchi kama rwanda ukubwa wake kama wilaya ya mkuranga itatuambia nn sisiiiiiiiiiiiiiiiii.
Sizitaki mbichi, nilijua hamtakawia na kamsemo menu kwamba Rwanda size ya mkoa, sisi hatubagui.
 
Biashara ya cement imekuwa ya u mwinyi sana.
Leo hii wakala anaringa anakuuzia cement kwa masimango kisa tu cement haipatikani sababu inakwenda rwanda..
Mimi nashukuru sana maana cement itapungua waende tu huko kenya.
Hahhahha... Mleta mada akisoma hapa anapata hasira!

Kwamba kumbe hiyo bidhaa hata sisi wenyewe hapa ndani tunaweza kula bila kusaz

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Biashara ya cement imekuwa ya u mwinyi sana.
Leo hii wakala anaringa anakuuzia cement kwa masimango kisa tu cement haipatikani sababu inakwenda rwanda..
Mimi nashukuru sana maana cement itapungua waende tu huko kenya.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Kabisa mkuu!. Selilkali inabidi sasa ijitahidi kuwahimiza wenye viwanda kuzalisha kwa wingi ili kuziba hilo gap linaloenda Rwanda
 
Mkombozi alikuwa dangote .wamemminya minya mpaka Leo hii kaishiwa pumzi.
Dangote ilikuwa inauzwa mpaka 8,500 kwa bei ya jumla kwa wakala.
Dukani tukawa tunauza 9,000 mpaka 10,000
ilipoingia hii awamu ya 5 inayotaka ionekane mambo mazuri yote imefanya yenyewe hapo ndipo tatizo limeanzia.

Back
Top Bottom