Rwanda wasusia bidhaa za Tanzania na kufuata za Wakenya

Nakuona kila sehemu ukijaribu kuivisha nguo serikali, ukweli jiwe ameharibu kila kitu
 
Comment ya kizalendo sanaa hii , binafsi nakuunga mkono yaan kama ni kweli itokee iwe kweli tu maana we have nothing to loose nchi kama rwanda ukubwa wake kama wilaya ya mkuranga itatuambia nn sisiiiiiiiiiiiiiiiii.
Kila sehemu mnakataliwa, jitafakarini. Jua mko na tatizo la msingi, Jiwe kuwa kiongozi mkuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] haya lazima yatokee
 
Vipi utopolo umerudi tena na vihabari vyako uchwara. Rwanda wamekanusha habari yako hiyo uchwara wao wamefunga mpaka wao na Uganda. Mtakula jeuri yenu sisi tumepakana na nchi nane mkuu hatuna shida sana.
Niliposoma hii comment nikarudi juu kuangalia nani mwenye akili hizi, kumbe mataga
 
Mkuu kumbe wakati mwingine huwa zinarudi?
 
Sawa......watarudi wenyewe wakijisikia...Kama ni kweli sisi Watz tunawatakia Kila la kheri...ila hatuwezi kuwatelekeza Burundi na DRC...
 
[emoji817]

In March 2019, when Gatuna border was closed, Ugandan traders reported to have incurred a loss of Shs180billion.

A week later, Tanzanian traders swang in and doubled their earnings above what they were getting,

When Gatuna was closed, more Tanzanian products doubled through Rusumo One-stop border post.

In Rwandan shops these days, one finds all sorts of Swahili branded products such as, Jambo, Safi, Habari, Simba cement and Konyagi liquor.

Uganda Shouldn’t Force Rwanda To Buy Cement, Liquor
 
Sawa......watarudi wenyewe wakijisikia...Kama ni kweli sisi Watz tunawatakia Kila la kheri...ila hatuwezi kuwatelekeza Burundi na DRC...

DRC tumenyapia nyapia na kumega Kaskazini yao yote, halafu ile kwamba tulishakamilisha bandari ya Kisumu, ina maana mizigo tunamfikishia Kagame hapo fasta na hao Bakongo wa DRC.
Kwa Burundi huwa hatuna habari nao maana wenyewe wapo wapo tu hata sijui kama yao ni nchi au ni kitu gani haswa, kainchi kadogo lakini mifarakano kila siku hawakai watulie na kuyajenga.
Japo pia na wao kiaina huja mpaka kwetu.
 
Sizitaki mbichi, nilijua hamtakawia na kamsemo menu kwamba Rwanda size ya mkoa, sisi hatubagui.
Sasa wachambuzi wa mambo washa kupa facts apa ya kuwa dua yako ni invalid
 
Iv ziwa victoria lina kwenda mpaka Rwanda eh ? Unaijua geography vizuri ww ktk bichwa lako
 
Kila sehemu mnakataliwa, jitafakarini. Jua mko na tatizo la msingi, Jiwe kuwa kiongozi mkuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] haya lazima yatokee
Ww una udhibitisho gan ? Unamsikiliza huyu mleta propaganda za utopolo .... Acha akili za tazan ww tulia January ianze tuna launch ujenze wa sgr rasmi toka makutubora to isaka rasmi yqanniyo ndio kata ngebe kabisaaa
 
Dangote cement anarudi kwa kishindo!
TIC urges investors to explore economic activities for growth
ippmedia.com/en/news/tic-urges-investors-explore economic-activities-growth

31. August 2020
31Aug 2020
Correspondent
Mtwara
News
The Guardian
TIC urges investors to explore economic activities for growth
TANZANIA Investment Centre (TIC) has appealed to investors to access the Centre’s activities to attain economic growth.

TIC Director Dr Maduhu Kazi.
TIC, which coordinates, mobilises and oversees the country’s investment, is now making efforts to visit investors in their areas of investment for inspection and solve challenges facing them.

TIC Director Dr Maduhu Kazi was speaking during his visit to investors in Mtwara Region.

While at Dangote Cement factory he said the aim was to see how they can work together with investors and stakeholders in other government and private sectors in on how to realise investment goals for economic growth.

“I congratulate the investors for this factory, you are doing a great job, we at TIC are here for you, use TIC for investment development and we are ready to serve you to ensure the country’s economic growth,” he said.

The factory’s General Manager Aboyomi Awofodu said as for now the factory was installing modern machinery that will use electricity from natural gas, coal and hydro so as to have reliable power at all times.

The factory situated on 1,700 acres of land at Msijute area in Mtwara is among the biggest investment in Tanzania. District and has the capacity to produce three million tons of cement per year.

It started operations in December 2015 and up to now it produces gradea 32.5 and 42,5 of cement used in the country as well as for export.

Meanwhile, Mtwara Region continues to strengthen infrastructures that contributes to increase of investments including the expansion of Mtwara Port costing 157bn/- and an extra runway at Mtwara Airport costing 50bn/-.

Mtwara Region Administrative officer Alphayo Kidata said the aim of the infrastructures was to open up the region’s economic potential including cashew nuts growing and the availability of natural gas that has contributed to the establishment of industries for economic growth.

Kidata was speaking in Mtwara to TIC Director Dr Maduhu Kazi during the former’s visit to the region as part of his inspection visit to southern regions.


Dangote Cement to run test for the $90mn power plant in Tanzania - CNBC Africa


Dangote Cement to run test for the $90mn power plant in Tanzania

AUGUST 13, 2020
| UPDATED: AUGUST 13, 2020

CNBC Africa


Dangote Cement to run test for the $90mn power plant in Tanzania - CNBC Africa


Dangote Cement to run test for the $90mn power plant in Tanzania.

This month, Dangote Cement is expected to do test runs for the $90 million gas-fired power plant in Mtwara, southern Tanzania, after months of delays occasioned by the COVID-19 pandemic.


Dangote Cement to run test for the $90mn power plant in Tanzania - CNBC Africa
 
Bora arudi nimechoka na MARINGO ya twiga cement
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Tanzania Ni Tajiri
Msambaa Mmoja Havunji Soko
Waende Mbali Kote Waache Hitaji Lao Hapa Jirani. Waende Huko Huko
 
Iv ziwa victoria lina kwenda mpaka Rwanda eh ? Unaijua geography vizuri ww ktk bichwa lako
Tukiwahisha mizigo hadi kwenye hiyo bandari tutakua tumekamilisha mchezo, kwanza sisi ndio tuna eneo ndogo la hilo ziwa ila tunanufaika zaidi ya wote.
Uzembe wenu unasababisha Rwanda wanafuata bidhaa huku.
 
Hatubabaishwi na nchi ya watu 11milion who are mostly poor
 
Aksante, tupe link tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…