Rwanda wasusia bidhaa za Tanzania na kufuata za Wakenya

Sio uzem
Tukiwahisha mizigo hadi kwenye hiyo bandari tutakua tumekamilisha mchezo, kwanza sisi ndio tuna eneo ndogo la hilo ziwa ila tunanufaika zaidi ya wote.
Uzembe wenu unasababisha Rwanda wanafuata bidhaa huku.
uzembe ww ni zwazwa don't you remember COW ? Tz hatunaga issue za ku sideline watu ila nyie ndio mlijifanyaga majanjanya kutaka kumeza keki yote ya EAC lkn kilicho watokea ni laan yaan projects zote za COW zipo juu ya mawe ss rwanda ni kibaraka wa uhuru na anajua ya kuwa tz hatunaga mbwembwe za kuramba ramba mtu
 

 
Hii habari nikiiona citizen,Eastafrican,au the nation,nitaweza amini,lakini Hilo gazeti just rubish
 

Siku mtaacha uzembe mtapaa sana maana mpo geographically advantaged, sema labda miaka 50 ijayo.
 
Siku mtaacha uzembe mtapaa sana maana mpo geographically advantaged, sema labda miaka 50 ijayo.
Iyo miaka 50 ijao ukampe mtoto wako ! Ila hapa we are on supersonic speed we una fikiri kwann sasa iv mmeanza kutuchafua kwa kisingizio cha corona ? Mmeshindwa battle subirin tumalize uchaguzi hapa oct tuamze 2021 kwa speed tofauti sasa
 
Safi sana umemjibu vizuri yule mpuuzi wa Kenya.Hawezi toa Comment tena kwenye hii
 

Majibu konki,,na kwa majubu haya lazima mleta mada apate maumivu ya kichwa[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ww una udhibitisho gan ? Unamsikiliza huyu mleta propaganda za utopolo .... Acha akili za tazan ww tulia January ianze tuna launch ujenze wa sgr rasmi toka makutubora to isaka rasmi yqanniyo ndio kata ngebe kabisaaa
Mkuu unaamini jiwe anaweza kukuongoza na ukaimarika kiuchumi?
 
tayari Nyang'au mmeanza kujipendekeza..







MY TAKE
Trick za kitoto sana...Our demands r pretty simple!
  1. No Air tanzania to Kenya's Nairobi, Mombasa, Eldoret and Kisumu no any airline from Kunyaland to be allowed to land in Tanzania!
  2. No free movement of tanzanians in Kunyaland no any airline from Kunyaland is to be allowed to land in Tanzania


nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican,Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
Siku mtaacha uzembe mtapaa sana maana mpo geographically advantaged, sema labda miaka 50 ijayo.
Hivi waliotafuna pesa ya Corona wameshapatikana huko kwenu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…