Sisi hapa tulipaswa kuifanya zanzibar ya mfano na hilo linawezekana ila wanzazibari gumu sana na lawama kama zotee hadi tunaamua kuwasusa tu..Rwanda ni nchi ndogo sana maendeleo lazima yaende kwa kasi sana. Nashangaa zanzibar sijui wanafeli wapi na bajeti wanapewa yakutosha tu.