Rwanda yaiwekea Ubelgiji vikwazo vya kiuchumi

Rwanda yaiwekea Ubelgiji vikwazo vya kiuchumi

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Rwanda imetangaza kusitisha ushirikiano wa kiuchumi na Ubelgiji kutokana na kuituhumu nchi hiyo kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kuendesha kampeni ya kuihujumu kupata mikopo na misaada katika taasisi za kimataifa.

Ubelgiji nayo kwa upande wake imejibu mapigo kwa kueleza inafanya tathmini ya uhusiano wake na Rwanda.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Na sisi Tanzania tuiwekee vikwazo USA kwakukatisha ARVs

NB: bado Rwanda iinawndelea kutufundisha Kwamba hata hizi big power tunaweza kuzi sanction
Screenshot_20250219-144442.jpg
 
Sioni Kama Ubelgiji inaweza kuilinda Kongo, hata Kama imeahidiwa kitu, ni watu dhaifu sana! Ingeomba msaada ujerumani, urusi au China, japo ni Kama amechelewa. Ila Kinshasa na Bujumbula ikiangushwa, Africa mashariki yote itakuwa chini ya miguu ya mrefu,

Hawa EAC wakiwa na maono heri wangeihami Burundi na Western Congo.
 
Back
Top Bottom